dharau

Dharau is a village in Kanpur Dehat district in the state of Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. Mlalamikaji daily

    Ushauri: Walimu wote waanze na mishahara sawa, mwalimu wa science kuanza na mshahara mkubwa ni dharau kwa walimu wengine

    Leo tena nimekuja kulalamika, Hivi mwaka 2019 serikali iliona nini? Ilijisikiaje au kwakuwa head alikuwa mwalimu wa science akaona awabebe wenzake? Najua lengo ni kuwatia motisha walimu wa science, Sawa. Lakini je ili iweje? Kwa faida ipi? Shule ni zile zile, Wanafunzi wale wale, Tena wakifika...
  2. The dumb Professor

    Dah ila kumbe Wahaya wana dharau sana hivi jamani

    Hawayuu wasomi wenzangu, Leo katika harakati zangu za hapa na pale za kutafuta mkate wa siku wakati natoka kufundisha subtopic ya quantum tunneling pale UD. Nikadandia daladala moja ya kwenda Mbezi, ilikuwa imeshona mno na kulikuwa na kafoleni kimtindo. Mimi nlikosa siti nkawa nimenin'ginia...
  3. O

    Ofisi ya VODACOM tawi la Moshi wana dharau

    Juzi kati nilienda kuwataarifu kuhusu tatizo kwenye lain yangu. Cha ajabu meneja wakati natoa maelezo kuhusiana na la laini yangu Kama dakika moja hivi ghafla anapokea sim anaongea na msela wake na kunipotezea bila hata excuse yoyote..ni kwanini watu wanakuwa hivi?.. Ni viburi vya nafasi au vipi?
  4. Mcheza Piano

    Dharau: Mshahara wa Mgunda + Matola haufikii nusu ya mshahara aliokuwa akilipwa Benchikha

    Hii ni dharau, pili mshahara wa Benchikha ulitoka kwa mmiliki wa club ya Simba yaani Mo (alisema kainunua na hajawahi kufuta kauli yake), mishahara ya Mgunda na Matola inatokana na mapato ya club, yaani ikitokea watu wamechelewesha kodi kwenye lile jengo lao, au wanachama wamesusia kulipa ada...
  5. L

    Kibatala wewe ni wakili mzuri na msomi lakini punguza majivuno na dharau dhidi ya mamlaka

    Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi nimeshuhudia mawakili wengi wasomi kuliko wewe, mfano marehemu Dkt.Masumbuko Lamwai, Herbet Nyange...
  6. GENTAMYCINE

    Kwanini nafurahishwa sana na nazikubali mno Nyodo na Dharau za Dotto Magari ambazo ni Chungu Kwetu Wasomi, Wabaguzi na wenye Dharau kwa Masikini?

    1. Wasomi wengi tuna Dharau kwa wale Wasiosoma 2. Wasomi wengi ni Wabaguzi hasa kwa wale Wasiosoma 3. Wasomi wengi tunadhani Kusoma sana ndiyo kuyapatia Maisha 4. Wasomi wengi tunaishi Maisha ya Kuigiza wakati kiuhalisia tuna Shida Milioni kidogo 5. Wasomi wengi tuna Roho Mbaya iwe Makazini...
  7. H

    Ubaguzi na dharau uko kila sehemu, unahitaji jicho la tatu kuona mambo

    Wengi tunadhani ubaguzi ni wa rangi tu, hapana kuna ubaguzi wa nchi kubaguliwa bila kujali rangi zao. Mimi nataka kuongelea Tanzania tu. Nchi yetu kuna matabaka tofauti, Mswahili, mwaarabu. Indian na mpaka wasomali lakini sote ni wa Tanzania. Kuna jambo mimi muda mrefu limekuwa linanikera sana...
  8. blogger

    Kwa alichopost Stamina anajiona katoboa, anatudharau

    Huyuu👇👇 Kajisahau.. Huenda anahisi katoboa. Anamess na population moja inayoweza muamulia mtu maisha. Mshaurini aendelee kupambana na Break Ups zake.
  9. TODAYS

    Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

    Kulia ni balozi wenu mpya wa uingereza Mh.Mbelwa Kairuki akikabidhi hati za utambulisho kwa Mfalme.
  10. Mwadu Nkuva 2

    KERO Nchi hii Dharau zimezidi! Watumishi wa serikali Vyeo sio Misifa, ni Dhamana

    Dhahiri shahiri bila kupepesa macho nanyoosha malalamiko yangu Ofisi ya halmashauri Njombe mjini Kuwa Cheo ni Dhamana sio sifa na lawama hizi ziende moja kwa moja kwenye kitengo cha NIDA, Mjue tumeteseka Mashambani na makazini na viwandani, mikono yetu ikapasuka pasuka kwa kazi ngumu tukajituma...
  11. GENTAMYCINE

    Kujiamini kulikopitiliza, kupenda Sifa, Dharau na Jeuri kumemgharimu Kipa Djigui Diara leo na Kuruhusu Goli jepesi na la Kizembe

    Ukinibishia hili kuhusu Kipa wa Yanga SC na Goli alilofungwa ( japo Kayaokoa mengi ) jua Wewe una lako Jambo na hujui Mpira na hata pengine haujawahi Kuucheza na huwezi Kuuchambua Kiufundi vile vile. Abadilike kwa haya Mapungufu Oky?
  12. THE BIG SHOW

    Wilibrod Slaa na CHADEMA waache dharau kwa umma wa Watanzania

    Friends and Our Enemies, Sote tuna Kumbuka namna ambavyo Padre wilbroad slaa alivyokihama chama Hiko Cha chadema Kwa mbwembwe na mikogo na kusema kwamba Hawezi kukaa meza Moja na Fisadi Papa ambae by that time alikuwa anamaamisha ni marehem Lowasa. Slaa aliweka wazi wazi kwamba hakushiriki...
  13. Mwamuzi wa Tanzania

    Ushauri: Ukiwa chini ya ulinzi wa polisi jitahidi kupunguza dharau, fuata maelekezo yote. Utakuja uuliwe uwaachie msiba ndugu zako

    Tangu awamu ya 4 ya Mh. Kikwete polisi Tanzania wana stress sana . Sababu kubwa ni kuachwa gape kubwa la kimaslahi na askari na maofisa wa JWTZ. Posho na mishahara ya hawa watumishi ziko mbalimbali. Kwakuwa jeshi ni utii polisi wetu wamekuwa watii kwa serikali lakini hasira zao zinaishia kwa...
  14. Intelligent businessman

    Dharau by Ibraah FT Harmonize

    Ukisikia wiki ya Hit ndio hii, Ibraah wa Kondegang ameachia wimbo uitwao Dharau ambao ame shirikiana na Boss wake Harmonize nadiriki kuwa ambia ni kisanga, awa jamaa kwa Melody ni balaa yaani ni hatari tupu, Ngoma inapanda Tending kwa speed ya 5G uko mjini Youtube. .
  15. Replica

    Gerald Hando: Watanzania wanataka sukari, usituambie tusitumie. Asema majibu ya Janabi na Chalamila ni dharau kwa watanzania

    Mwandishi wa EFM, Gerald Hando ameshangazwa na majibu ya sukari yaliyotolewa na Prof. Janabi yaliyoungwa mkono na mkuu wa mkoa wa Dar. Hando amesema ni mtazamo finyu kuwaza sukari ni chai pekee ilhali sukari inayotumika kwenye chai ni vijiko viwili. Hando amesema sehemu kubwa ya vitafunwa...
  16. Tman900

    Watu wenye maeneo au viwanja huwa wana maringo, nyodo na dharau

    Watu wenye maeneo, wanapoamua kuuza, au unapoamua kutafuta kiwanja, yaani wanao miliki viwanja au maeneo huwa wanaringa sana, wanapotaja pesa utadhani wanataja majani au kitu kilicho rahisi sana. Kukipata! Wanaongea kwa kujiamini, lipa nusunusu utamalizia hiyo milioni 2, 3 au 4 utamalizia Baada...
  17. GENTAMYCINE

    Simba SC tumechoka sasa dharau za Clatous Chama tafadhali aachwe upesi

    Tokea juzi kataarifiwa arejee Kambini kuungana na Wenzake Yeye kwa dharau hadi muda huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi hajaenda na yuko Kisiwani Zanzibar amekula tu Bata (Starehe) na Mademu wa Kitalii ambao huwa anawapenda hakuna mfano. Chama tumekuvumilia vya kutosha tafadhali achana na Simba SC...
  18. GENTAMYCINE

    Kama ulidhani Waziri mwenye majibu ya Nyodo na Dharau ni Nchemba pekee umekosea sana, msikie huyu Waziri Oryem wa Uganda

    "Kama nchi yetu ya Uganda imebarikiwa Ardhi yenye Rutuba, Hali ya Hewa nzuri na Mazingira rafiki ya kumfanya Mkulima kwenda Shambani Kulima na akapata Chakula cha kutosha nikisikia kuna Waganda wanalia na kulalamika Njaa watakuwa ni Wapumbavu mno na hawastahili Kusaidiwa au hata kuonewa Huruma"...
  19. F

    Utafiti kwa kusoma Hukumu za Divorce Tanzania Ndoa nyingi zina migogoro sababu ya Dharau, Financial reasons ( Pesa) Na extended Family hasa mama wakwe

    habari wadau nilikuwa na utafiti binafsi wa mambo ya ndoa kwa ajili ya kukamilisha research thesis for academic reasons. nilifika Kituo Jumuishi cha Masuala ya Familia Temeke na kufanikiwa kuomba nakala za hukumu mbali mbali za kesi za ndoa ili zinisaidie utafiti wangu. katika kusoma kwangu...
Back
Top Bottom