chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. L

    CHADEMA inapokea Ruzuku ya Tsh. Millioni 107 kwa mwezi sawa na Tsh. Billion 1 na Millioni 284 Kwa mwaka!

    Ndugu zangu Watanzania, Chama kikuu cha upinzani hapa Nchini CHADEMA kinapokea Ruzuku kutoka serikalini ya takribani Millioni 107 kwa Mwezi ambayo ni sawa na Billion 1 na Millioni 284 kwa mwaka. Yaani: 107,000,000 x 12= 1,284,000,000/=. Ambapo hata hivyo CHADEMA inasema kiasi hicho ni kidogo...
  2. MamaSamia2025

    Kuelekea 2025 Mwananyasa mumchague Sugu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyasa

    Kuelekea uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya nyasa ninawasihi wenzetu katika demokrasia kumchagua kwa kishindo Joseph Mbilinyi (Sugu). SUGU ANATOSHA. Sababu ni zifuatazo; 1. Hana njaa ni tajiri. Hatatafuna michango yenu hovyo. 2. Ana misimamo binafsi. Hajamkabidhi akili Mbowe wala...
  3. Mhafidhina07

    CHADEMA inafeli sehemu moja tu,Dola ni tafsiri pana isiyo mipaka.

    Dola ni chombo cha usalama wa nchi ambapo ndani yake kuna lengo la kupanga na kuratibu mambo yote ya usalama, kuhakikisha ufanisi wa sera sera na utekelezaji wake katika maendeleo pamoja kuchambua na kutafsiri sheria,sera na kutuza utamaduni. Sometimes Dola huangaliwa kama ni chombo cha Usalama...
  4. Tlaatlaah

    Mwenye ushawishi mkubwa kisiasa CHADEMA

    Viongozi waandamizi chadema kwa mfano, Lissu na Mbowe, wana nguvu sana kisiasa, wana uwezo mkubwa kujieleza, kutetea na kujenga hoja, wana maono, vipawa vya kipekee sana, nia, dhamira njema, ndoto, hulka za uongozi. Kwa hali halisi ya kisiasa wakati huu, na kwa nguvu na uwezo wao binafsi, ni...
  5. Tlaatlaah

    Gari la mchango la makamu Mwenyekiti CHADEMA

    kumekua na maswali mengi sana, kuhusu gari la mchango la makamu mwenyekuti wa chadema, kwamba gari hilo la mchango ni kwaajili ya matumizi na kazi za chama au kazi zake binafsi? ni vema chimbuko la jambo hili likawekwa bayana vizuri wengi hawaelewe vizuri. Na kwamba wachangiaji wa gari...
  6. 4

    CHADEMA inatoa mchakamcha usio wa kawaida kwa chama tawala CCM kwa speed ya hypersonic

    Wajf imani ikatawale popote mlipo. Andiko langu litakua fupi Chama kikuu cha upinzani Tanzania (Chadema) mpaka sasa kinatoa mchakamcha ambao sio wa kawaida kwa chama tawala CCM kwa speed ya hypersonic kiasi kwamba wafuasi na Viongozi wa chama cha ccm wanashindwa wapi pa kushika na wenda...
  7. Tlaatlaah

    Tetesi: CHADEMA kuingiza nchini magari mapya zaidi ya 25 kwa kazi maalumu kuelekea uchaguzi

    Magari hayo ni ya kimkakati na kazi maalumu. Yatasambazwa kwenye kila kanda, katika kanda zote za kichama nchi nzima. Magari haya yatakua chini ya usimamizi wa viongozi waandamizi wa kanda watakaochaguliwa hivi karibuni katika uchaguzi wa ndani ya chama unaondelea. Mnyetishaji alisisitiza...
  8. L

    Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

    Ndugu zangu Watanzania, Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu nayosemaga humu jukwaani kuwa CHADEMA imepuuzwa na inaendelea kupuuzwa na mamilioni ya watanzania kila...
  9. Mwachiluwi

    CHADEMA kuchangisha michango kununua gari jipya la Lissu ni wizi

    Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje? Lissu acha...
  10. Tryagain

    Chadema itaendelea kuwa under dog wa CCM milele

    CHADEMA NI UNDER DOG WA CCM MIAKA NENDA RUDI….! Hivi karibu tumeona na kushuhudia matendo ya ajabu sana ndani ya Chadema, chama ambacho kilijitanabaisha kama mbadala wa CCM, kwamba kimefikia hadhi ya kuwa chama dola, kwamba ni chama ambacho kinaweza kusimama na wananchi na kuendesha siasa...
  11. Allen Gerald

    CHADEMA ikifanikiwa kukamata vijana wa 1995-2012 mwaka 2030 Uraisi ni wao.

    Sijui Chadema wataacha lini kupiga siasa za mitandaoni na kuingia vijijini ambako asilimia kubwa ya wapiga kura wanatokea huko. CCM wanajibebea tu maujiko kwa mama zetu, uncle zetu, Baba zetu, shangazi zetu Babu zetu na Bibi zetu hii yote ni kwa sababu CCM wanabebwa na Historia. Asilimia kubwa...
  12. M

    MBOWE AMEONGOZA CHADEMA MIAKA 20, ARUHUSU MAWAZO MAPYA

    Wanajukwaa, Nchi yetu iliingia katika mfuko wa vyama vingi vya siasa mwaka 1992 ikiwa ni miaka 32 sasa. Kati ya vyama vya siasa vilivyosajiliwa wakati huo ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Chama hiki kimeongozwa na wenyeviti takribani watatu mpaka sasa kwa maana ya Mzee Edwin...
  13. L

    Ni Aibu na Fedheha kubwa sana kwa CHADEMA Nzima kushindwa kumpatia Gari la Ofisi Makamu Mwenyekiti wake Mpaka anaamua kutumia la kukodi

    Ndugu zangu Watanzania, Inasikitisha sana,ni aibu kubwa ,inafedhehesha,inaleta maswali mengi sana juu ya umakini na akili za chama hiki cha CHADEMA. Hii ni baada ya kusikika kwa taarifa kuwa Lissu alikuwa hana gari la kutumia katika shughuli za chama, na kwamba gari alilokuwa akitumia lilikuwa...
  14. Erythrocyte

    Majina ya Walioteuliwa kugombea Uenyekiti wa Kanda za CHADEMA yaanza kuwekwa hadharani

    Jina la kwanza kuwekwa hadharani ni la huyu Dickson Matata, ambaye ameteuliwa kuwania uenyekiti kanda ya Magharibi. Dickson Lucas Matata Ameteuliwa na Kmati Kuu ya Chama kugombea nafasi ya Uwenyekiti Kanda ya Magharibi. Uchaguzi katika Kanda hiyo utakaofanyika tarehe 29 Mei, 2024 na...
  15. F

    Gari ya Tundu Lissu ni kielelezo cha gharama za kuitoa CCM madarakani. CHADEMA tumnunulie Lissu gari jingine

    Hili gari linatisha sana kuliangalia! Kinachonishangaza ni ujasiri wa Tundu Lissu kutaka kulitengeneza na kulitumia tena. Gari hilo ni kielelezo cha jinsi ilivyo vigumu kuutoa madarakani mfumo CCM. Gari hilo lihifadhiwe makumbusho ya Taifa kwani ni alama ya ukombozi wa mtanzania. Tundu Lissu...
  16. Crocodiletooth

    Ndani ya chadema ni mvurugano tu, wapo walio bora na wasio bora, ndiyo shida kuu!

    Kwa jinsi nilivyotonywa na paparazzi maalumu ambaye yu ndani ya chadema na ni mwanachama wao kinda kinda ki, wapo wanaopewa kipaumbele cha kifedha ili kujenga mahekalu yao na familia zao, kibaya zaidi wapo waliowekwa pembeni na hawaruhusiwi kuhoji lolote, suala hili linaleta shida na tabu kubwa...
  17. M

    CHADEMA mnajivua nguo kwa kuanzisha michango ya kumnunulia Lissu gari la kifahari. Hampo kwa ajili ya wananchi

    Hii kampeni ya kuchanga ili kumnunulia gari jipya la kifahari Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni dhihaka iliyopitiliza kwa mwananchi wa kawaida. Tofauti kati ya wabunge wanaopitisha bajeti za kujinunulia magari ya kifahari na viongozi wa CHADEMA hakuna. Kama viongozi wa CHADEMA nao...
  18. R

    Chadema Kiboko! Kwanini nasema hivyo?

    News outlets zote zilikuwa busy ku report habari za vikao vya Chadema. Kila news outlet iliandika ilichokuwa inakifikiria. mara wamepigana, mara Lisu kawekwa kitimoto, mara hili na lile etc etc. Machawa CCM walipagawa kote kwenye upenyo wa kuandika lolote kuhusu vikao hivyo! JF ndiyo usiseme...
  19. MamaSamia2025

    Je, ni kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu kama wanavyojinadi?

    Wakuu nimekuwa nikitafakari hii kauli nzito inayotamkwa kila mara na wafuasi wa chama kinachomilikiwa na Mbowe (CHADEMA) kuwa chama chao ni mpango wa Mungu, ila bado sijathibitisha. Hata viongozi wa dini wanaokiunga mkono hawajawahi thibitisha hilo. Ila baada ya kusoma biblia na kujikumbusha...
  20. M

    Lissu aombe radhi, asijitoe akili

    CHADEMA WAMKALIA KOONI LISSU NI MNAFIKI AOMBE RADHI - ASIJITOE AKILI Kamati kuu CHADEMA imemuhoji Makamu Mwenyekiti na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Tundu Lissu kwa kuudanganya Umma kuwa haku kukubaliana na uamuzi wa kumwalika Rais Samia Suluhu Hassan kama mgeni rasmi katika...
Back
Top Bottom