Wadau,
Naombeni msaada wapi nitapata Mashati na suruali kwa bei nzuri hapa Dar na Quality ya ukweli.
Mimi hupendelea mtumba sababu unakuwa wa tofauti kidogo kuliko Dar Combine. Anywhere but not Kariakoo please.
Sim aina ya Google Pixel 6A used but in good condition.
Ram 6 GB
Internal storage 128 GB
Single sim card
Size 6.1 inches
Network 5G
Bei 500,000/=
Protector cover bure
Nipo Tabata Segerea
Mafuta yanapatikana kwenye ujazo wa ltr1, ltr3,ltr4 na lita 5.... Bei rafiki sana 0623140090 nitafute tufanye biashara yanapatikana kwa jumla na rejareja.. karibuni sana
Ndugu zangu Sote tunafahamu kuwa secta ya kilimo katika nchi hii imeajiri na kubeba kundi kubwa Sana la watanzania, Ni secta ambayo ndio pumzi ya familia na Kaya nyingi, Ni secta inayotegemewa na watanzania wengi Kama shughuli kuu ya kiuchumi, Ni kimbilio la wengi, Ni ngazi ya wengi, Ni njia...
Nina eneo kubwa nataka kulima maharage.
Naomba kujua ni aina gani ya maharage inapendwa sana sokoni na bei yake imechangamka sokoni.
Ukinipa na mbegu inakopatikana itapendeza. Eneo heka 2
Kinana ashauri wakulima waachwe wauze popote wanapopata bei nzuri
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania bara Ndugu Abdulrahman Kinana ametoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya wakulima pale wanapotaka kuuza mazao yao.
Akizungumza na wana CCM na wananchi waliyojitokeza kumlaki Nyakanazi...
Naomba kuuliza wapi nitapata chimbo la mchele mzuri maeneo ya Morogoro.
Mimi ni graduate nimejipiga piga nimepata mtaji kidogo around 600k (laki sita) soko la kuuza Dar nimepata maeneo ya Tandale Sokoni nilikua naomba kufahamishwa chimbo la Mchele kwa Morogoro.
Nilikua nafikiri niende mbali...
Nauza Computer CPU aina ya Dell, inauwezo mzuri pia ina internal storage GB 800.
CPU bado ipo katika hali nzuri,
niliacha kuitumia baada ya monitor (screen) yake kuvuja wino kwenye kioo baada ya kuanguka.
Ukinunua CPU nakupa Keyboard, mouse na cable zake zote bure.
Bei ni laki mbili tu.
CPU ipo...
Habari zenu wadau,
Naomba kuuliza namna ya kupima chakula cha biahara mfano wali na nyama au ugali na mboga zake ili kupata faida Pia juice ya parachichi na embe au embe na passion huniletea hasara sijajua kuna kitu cha nyongeza cha kuweka ili kuifanya iwe nyingi au labda natengeneza nzito...
Jimbo la Igunga Waendelee na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 - 2025 kwa kuwasimamia vizuri wakulima wa zao la Pamba katika kuhakikisha wanapata Soko na bei nzuri ya zao hilo muhimu chini ya Maelekezo ya Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana kwa Karibu na Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.