Wapi naweza kupata nguo na viatu vya Mtumba vya quality na bei nzuri?

Minjingu Jingu

Senior Member
Nov 2, 2023
142
506
Wadau,

Naombeni msaada wapi nitapata Mashati na suruali kwa bei nzuri hapa Dar na Quality ya ukweli.

Mimi hupendelea mtumba sababu unakuwa wa tofauti kidogo kuliko Dar Combine. Anywhere but not Kariakoo please.
 
Wadau, naombeni msaada wapi nitapata Mashati na suruali kwa bei nzuri hapa Dar na Quality ya ukweli.

Mimi hupendelea mtumba sababu unakuwa wa tofauti kidogo kuliko Dar Combine. Anywhere but not Kariakoo please.
Ingekuwa next week tungeenda wote ilala boma pale. Asubuhi lakin.. pale ukifika Ashanti utaipata na jinzi Kali tu. Ulizia kwa ostaz sele
 
Wadau, naombeni msaada wapi nitapata Mashati na suruali kwa bei nzuri hapa Dar na Quality ya ukweli.

Mimi hupendelea mtumba sababu unakuwa wa tofauti kidogo kuliko Dar Combine. Anywhere but not Kariakoo please.
unataka vya bei nzuri au bei ndogo
kama ni bei nzuri njoo hapa mlimani city
kama ni vya bei ndogo nenda karume au manzese
 
Kuna watu wanaamini katika mitumba,yaan unauliza bei ya open shoes unaambiwa ni elfu 80,ukiuliza mbona bei kubwa? unaambiwa huu Mtumba huu,sifa kubwa ya bei kuwa juu ni Mtumba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom