baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkulima na Mfugaji

    Mbona hatumuoni shabiki mwenzetu wa Simba bwana Mchome tukifurahi nae baada ya Yanga kutolewa Ccl na Simba kuingia Robo fainali CCC

    Imekua ni kawaida kwa huyu bwana Mchome kutoa hisia zake hasa baada ya mechi za Simba na Yanga kumalizika na kutoa madhaifu ya timu ya Simba huku akiwa amevaa jezi ya Simba na kujiita kwamba yeye ni mwana Simba Sasa tulitegemea tufurahi nae shabiki mwenzetu wa Simba baada ya Yanga kutolewa CAF...
  2. Webabu

    Marekani yarudisha mapigo baada ya meli yake kushambuliwa

    Vita kati ya Marekani akishirikiana na Israel na Uiengereza dhidi ya Houth bado vinaendelea ambapo hapo jana Marekani ilishambulia maeneo ya Yemen yaliyokaribu na mji mkuu wa Sanaa. Shambulia hilo la Marekani maeneo ya Al-Azraqeen kama ilivyothibitishwa na televisheni ya Houth ya ALmasira ni...
  3. W

    Kuna haja ya kuanzisha utamaduni mpya wa kuchukulia ni jambo la kawaida mwanamke kuzaa, kuwepo sherehe, pongezi na zawadi baada ya DNA TEST

    Ni utamaduni wa waafrika wengi kuwa strict sana kwenye kulea damu zao ndio maana huwa wanaumia sana wakigundua watoto ni wa nje. Mfano kwenye kabila letu (nisingependa kulitaja), naambiwa hapo zamani ilikuwa kaka akitembea na mke wa ndugu yake, haikuleta shida, cha muhimu kilikuwa damu iwe...
  4. Eli Cohen

    Hitimisho baada ya miezi 15 ya kupondwa Hamas na vibaraka wake, haimaniishi ndio kukoma kwao lakini pia haimaanishi ndio pumziko lao

    Jihad ni process, kwa hio magharibi wasichukulie poa. Amani na uhuru ni thamani, kwa hio itikadi kali wasichukulie poa. Hii vita imeipa shape ya kujua hali halisi ya middle east na namna ilivyo athiri duniani kote. Tumejifunza na kujua kuwa ile ni vita ya kidini na itikadi. Ni vita ambayo...
  5. W

    Nikiwa kama mzazi namuunga mkono Inspector Haroun (Babu) kumtembezea kipigo mtoto wake baada ya kumkuta studio

    Inspector Haroun (Babu) amemtembezea kipigo mtoto wake akidai kwamba mtoto amempeleka chuo ila anashangaa kumkuta studio Yupo sahihi kwasababu uchungu wapesa anayolipa chuo tunaujua tunaolipia ada. Mzazi au mlezi unaweza kutimiza wajibu mtoto aende kusoma shule za serikali bure lakini utaanza...
  6. Magical power

    Baada ya masomo magumu na mazito,sasa tupate burudani kidogo

    Fundi wa Ving'amuzi alienda kurekebisha dishi la Azam kwenye Nyumba ya Wasomali , Baada ya kufika kwenye nyumba ile alimkuta Binti wa mwenye nyumba akiwa mwenyewe . Yule binti alikuwa na miaka 20 na yule fundi alivyomuona alitamani walau aonje yaliyomo kwahiyo baada ya kumaliza kazi alianza...
  7. Sa 7 mchana

    Mfahamu binadamu wa kwanza kumwaga nje na adhabu aliyopata ni kuuawa baada ya kufanya kitendo hicho

    Kweli hakuna jipya chini ya jua, Kwa jina anaitwa Onani. Yuda akamwambia Onani, Uingie kwa mke wa nduguyo, ukamwoe, ukamwinulie nduguyo uzao. Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake, ikawa, alipoingia kwa mke wa nduguye, akamwagia chini asimpe nduguye uzao. Neno hili alilolifanya...
  8. itakiamo

    Watanzania ni wasahaulifu sana, baada ya lori kupata ajali, watu wanachota mafuta

    Kuna ajali ya lori la mafuta imetokea hapa Mzambarauni , Morogoro. Kitu kilichonishangaza ni uwepo wa watu ambao wamejiandaa kabisa kwa kuchota mafuta wakati si miaka mingi naeneo hayo hayo palitokea vifo halaiki kutokana na moto August 2019.
  9. Kaudunde Kautwange

    Changamoto ya toyota allex kutowaka baada ya ingine kupata normal temperature

    Wakuu habari, Nina toyota Allex, changamoto yake ni kuwa, nikiwasha, engine ikipandisha temperature kwenye normal inakuwa fresh, sema ikitokea nimezima, aiseee.. kuwaka tena inakuwa na changamoto sana, yaani hadi niiache ipoe kabisaaa... changamoto inaweza kuwa nini!?
  10. Lord denning

    Baada ya Nyerere kuighafirisha TANU mwaka 1967, Inawezekana Tanzania ikapata zawadi ya chama makini zaidi baada ya uchaguzi wa CHADEMA

    Historians wanalijua hili. The glory of Tanzania ilikuwa kabla ya mwaka 1967 ambapo kwa mara ya kwanza nchi yetu ilipata chama makini chenye watu Makini kilichojulikana kwa jina TANU. Kwa ukanda huu wa Afrika hakukuwa na chama makini kama TANU chini ya Mwenyekiti Julius Kambarage Nyerere na...
  11. Waufukweni

    Klabu ya Simba imefungiwa na CAF kucheza bila mashabiki na faini zaidi ya TSh. Milioni 100

    Wakuu CAF yaifanyia Ubaya Ubwela Simba SC == Timu ya Simba Sports Club imeamriwa kucheza mchezo mmoja bila mashabiki na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kufuatia vurugu zilizotokea Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi dhidi ya CS Sfaxien. Adhabu hiyo itaathiri mchezo wao wa nyumbani...
  12. Tlaatlaah

    Unamshauri Tundu Lissu ajiunge na chama gani ikiwa atashindwa uenyekiti Taifa CHADEMA?

    Kwasababu ni wazi, mpaka sasa matumaini hakuna tena, Tundu Lisu amekata tamaa kabisa. Nguvu ya kisiasa, uwezo wa kiuchmi na ushawishi wa hoja wa chairman mbowe kwa wajumbe hauzuiliki kabisaa wala hayupo wa kudhoofisha. Na kumbuka, Tundu Lisu mpaka kuamua kugombea uenyekiti na kuacha umakamu...
  13. Dalton elijah

    Pep Guardiola aachana na mkewe baada ya miaka zaidi ya 30 kuwa pamoja

    Baada ya miaka 30 pamoja, na watoto 3, Pep Guardiola na Cristina Serra wanaonekana kutengana. 💔 == Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa pamoja kwa miaka 30. Guardiola ambaye anapitia kipindi kigumu kwenye kikosi cha Manchester City...
  14. Mindyou

    Netanyahu asusia kwenda kwenye uapisho wa Trump baada ya Trump ku share post inayomkosoa. Kuna usalama kweli?

    Wakuu, Kumbe mambo yanafutuka huko Marekani kati ya Donald Trump na Netanyahau na wala hamsemi? Imeripotiwa hivi karibuni kuwa Netanyahu amesitisha safari yake kwenda Washington kwa ajili ya kuhudhuria uapisho wa Donald Trump. Imetajwa kuwa sababu ya uamuzi ni kutokana na retweet ya...
  15. C

    MC Pilipili anatrend baada ya kuachana na mkewe (kataa ndoa)

    ninayoandika hapa simsingizii mtu bali natoa habari zangu kwenye vyanzo vya uhakika. sasa hivi mc pilipili ana trend baada ya kutangaza kuachana na mwanamke wake na kwenda mbali zaidi kusema ana tamaa huyo mwanamke. kwa wasiomjua mc pilipili hakukurupuka hadi kufikia hatua ya kuwa msanii...
  16. S

    Kikundi cha rsf kuongea na waandishi wa habari jijini Nairobi- kenya ikiwa ni baada ya kupoteza udhibiti wa mji wa wad madani

    Kulingana na The Eastleigh Voice, kikundi cha RSF cha nchini Sudan kitaongea na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya mnamo Jumatatu ya tarehe 13 Januari 2025. Hii inakuja ikiwa ni siku moja tangu RSF wapoteze udhibiti wa mji muhimu wa Wad Madani. Kuipoteza Wad Madani ni pigo kubwa...
  17. GENTAMYCINE

    Kwahiyo Kocha Mnafiki Ibenge baada ya jana kufika Bei na kuwaachia 'Calculator FC' ndiyo kaamua Kuidhalilisha hivi Simba SC?

    Katika Mtandao wa Sokavibe6 ameonekana Kocha Ibenge akiwa na Ali Kamwe na Privaldinho kutoka Yanga SC akisema kuwa Simba SC huwa wanaweka Dawa Vyumbani kwa Mkapa ili kuzifunga Timu za Kigeni na kwamba Yanga SC huwa hawana huo Utaratibu. Huu ni Udhalilishaji mkubwa na kutaka tu kuichafua Klabu...
  18. Meneja Wa Makampuni

    Jinsi Ambavyo Ningefanya Baada ya Kuishika Milioni 100 za haraka

    Kuna wakati mtu unapata pesa za haraka alafu unashindwa kuwaza ufanye nini kwa haraka ili pesa yako isiishe bila kufanya cha maana. Wengine wanapata kutoka kwenye kiinua mgongo, mafao fulani, wengine mkopo, wengine ni mgao fulani, wengine wanagawiwa kama zawadi n.k Kama mimi ningebahatika...
  19. K

    Wananchi wa Kijiji cha Nyangunge hawana maji baada ya vituo vya kuchotea kufungwa

    Nimeona Habari hii ITV, nikasema ngoja nishare na wanajukwaa. Inatoka uko Kijiji cha Nyangunge kilichopo katika Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, wananchi wa Kijiji hicho wanasema wamekosa huduma ya maji safi na salama kutokana na vituo vya kuchotea maji kufungwa zaidi ya miezi miwili Sasa...
  20. Mi mi

    Baada ya Syria ya Assad Je, sasa ni zamu ya Egypt ya Sisi ? Movement ya kumtoa madarakani yahofiwa kuanza

    Baada ya utawala wa Assad kuangushwa Syria, yahofiwa movement inayofuata ni ya kuondosha utawala wa Misri wa Sisi. Movement hiyo ni January 25 Revolutionaries Movement. Je, hawa wapiganaji watafanikiwa ? https://x.com/BroderickM_/status/1878204005450690640?t=mV3t7TJCfbPpIy2Ta18SXw&s=19...
Back
Top Bottom