Constantine J. Samali Mauki
Utangulizi
Nikiwa mtoto, nilijua watu wanaosafiri kwa ndege ni watalii (kwa maana ya wazungu), matajiri, na viongozi wakubwa wa Serikali. Nilipokuwa mkubwa na mpaka sasa, naona mtizamo wangu bado ni uleule niliokuwa nao nikiwa mtoto, kwamba usafiri wa ndege ni wa...
Utangulizi
Kimsingi, maeneo yote ya wazi ni ya umma. Ni maeneo yaliyotengwa na serikali kwa ajili ya shughuli za kijamii na hata kiserikali. Maeneo haya sii lazima yawe tupu; ni maeneo yasiyokuwa na majengo ya aidha makazi au ya shughuli nyingine za kibiashara. Maeneo haya ni pamoja na viwanja...
Utangulizi
Uchumi wa Buluu ni nini? Kwa mujibu wa Benki ya Dunia (“World Bank”), Uchumi wa Buluu ni “Matumizi endelevu ya rasilimali za bahari kwa ajili ya ukuaji wa uchumi, kuboresha shughuli za kujipati kipato, na ajira, huku afya ya mfumo wa ikolojia ukihifadhiwa”.
Kwa mujibu wa Kamisheni ya...
Utangulizi
Katika mambo magumu katika nchi nyingi zinazoendelea hasa za Bara la Afrika, ni kujiuzulu au kwa maneno mengine, kuachia ngazi kwa viongozi katika nafasi wanazozishikilia pale ambapo mambo yanaharibika katika taasisi wanazoziongoza.
Ninapozungumzia juu ya kujiuzuli au kuachia ngazi...
ConstantineJ. Samali Mauki
Utangulizi
Bayogesi ni nini?
Kwa mujibu wa Lucía Fernández wa Statistica (Feb 8, 2023), Bayogesi ni mchanganyiko wa gesi ya methane na hewa ya ukaa (kabonidayoksaidi) inayozalishwa na viasilia mbalimbali kama mabaki ya mimea na ya Chakula katika mazingira ya ukosefu...
Utangulizi
Wakati ninasoma, nilidhani kuwa watalii ni lazima wawe wazungu kutoka Ulaya, na pia nilidhani utalii unafanyika katika mbuga za Wanyama pekee. Nikiwa bado shuleni, nilibahatika kwenda pamoja na wanafunzi wenzangu kutembelea mbuga za Wanyama Manyara na Ngorongoro, tulipokuwa tunakutana...
ConstantineJ. Samali Mauki
Utangulizi
Serikali za mitaa ni chombo cha utawala wa umma, kilichopewa madaraka ya kuamua na kuendesha shughuli zake katika sehemu ndogo ya nchi au Taifa. Hizi ni halmashauri za wilaya, miji, manispaa na majiji ambazo zinasimamia shughuli za maendeleo za kata...
ConstantineJ. Samali Mauki
Utangulizi
Kila mara huwa nawaza, ikiwa serikali itatekeleza sheria zake kuhusu malipo ya kodi za ardhi na majengo kikamilifu, ikiwa ni pamoja na kupiga mnada viwanja/nyumba ambazo hazazijalipiwa, ni Watanzania wangapi watakosa makazi na kwenda kuishi mitaani? Sipati...
Utangulizi
Kama nchi nyingine za Afrika, Tanzania ina rasilimali nyingi sana ambazo kama zingetumika vizuri, nchi ingeendelea na Maisha Bora kwa kila Mtanzania yangewezekana. Wakati Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete anaingia madarakani kama Raisi wa Tanzania mwaka 2005, Maisha Bora kwa Kila Mtanzania...
Utangulizi
Nimesoma machapisho mbalimbali kuhusiana na utajiri wa Afrika, nikagundua Bara la Afrika ni Tajiri kuliko mabara yote duniani. Tumebarikiwa kwa Ardhi kubwa yenye rutuba; na yenye rasilimali nyingi.
Sasa utajiuliza, kwa nini Bara la Afrika pamoja na utajiri wake ni maskini kuliko...
Utangulizi
Baadhi ya wafanyabiashara wakubwa, nikimaanisha wale waliofikia kiwango cha kumiliki makampuni makubwa na/au viwanda vikubwa, wana tabia ya kuwameza wafanyabiashara wadogowadogo, kwa namna mbalimbali. Kwa mfano, kampuni ina kiwanda cha kuchakata ngano, na inauza ngano iliyokobolewa na...
Utangulizi
Kwa muda mrefu nimekuwa nasikia kampeni ya kuchangia damu kwa hiari kwa ajili ya kuwekeza katika Benki ya Damu Salama, kwa ajili ya kuwaongezea wagonjwa (wenye uhitaji huo) mahospitalini. Katika pita pita yangu, nimebahatika kuchangia damu kwa hiari mara mbili.
Hivi karibuni...
Utangulizi
Miaka ya nyuma, magonjwa mengi yasioambukiza yalitawala sana nchi zilizoendelea, magonjwa haya ni shinikinizo la juu la damu, kisukari, saratani, magonjwa ya figo, na kadhalika; ambayo pia yaliwapata watu wenye umri mkubwa, yaani kuanzia miaka 60 na kuendeleza. Wakati huo, nchi nyingi...
Utangulizi
Waalimu Forum (Agosti 25, 2021), inaeleza maana ya Ushoga na Usagaji:
Ushoga ni nini? Kwa muktadha huu, ina maana tofauti na ile ya Urafiki (hasa kwa wanawake), ni ile hali ya mwanaume/mvulana kujihusisha kingono na mwanaume/mvulana mwenzie kinyume na maumbile yaani uume kuingizwa...
VVU ni nini? Hiki ni kifupisho cha neno Virusi vya Ukimwi, na Ukimwi ni kifupisho cha Upungufu wa Kinga Mwilini.
Ugonjwa wa VVU/UKIMWI (Virusi vya Ukimwi/ Upungufu wa Kinga Mwilini) umeingia Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 1980, ambapo watu waliupa majina mbalimbali, yakiwemo “Juliana”, “Slim”...
“Electronic Balloting System (EBS)”, ni mfumo wa kupiga kura kidigitali, yaani kwa kutumia vifaa maalum vya tarakilishi. Mfumo wa kutumia tarakilishi katika uchaguzi sii mgeni hapa Tanzania, kwani toka mwaka 2015 Tume ya Uchaguzi nchini ilianza kuutumia kwa kuandikisha na kuhakiki wapiga kura...
Kuna maneno matatu ambayo ni vigumu sana kuyatenganisha, hata kuyaelezea maana yake ni vigumu kumaliza bila kuhusianisha na neno au maneno mengine kati yake. Maneno haya ni RUSHWA, UBADHIRIFU na UFISADI.
Nataka kujikita zaidi katika dhana ya UFISADI. Nitaeleza kwa ufupi maana ya neno Ufisadi...
Kawaida, kwa Tanzania ukizungumza juu ya majimbo, watu wengi hudhani ni yale yanayowakilishwa na wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Majimbo ninayozungumzia hapa, ni mikoa inayoongozwa na Wakuu wa Mikoa kwa sasa! Swala la serikali za majimbo limezungumzwa siku nyingi na mara...
Nimevutiwa kuandika Makala hii kutokana na mjadala unaoendelea hivi sasa, kuhusu mchakato wa bandari ya Dar-es-Salaam kuingia mkataba wa uendeshaji na kampuni ya DP World ya Dubai. Ni habari ambayo imetawala vyombo vingi vya habari!
Kielezo Na. 1: Bandari ya Dar-es-Salaam
Chanzo: KWELI -...
Maendeleo ya nchi yoyote duniani yanahitaji mambo muhimu kama ifuatavyo: Ardhi, Watu, Siasa safi na Uongozi bora. Utawala bora na uwajibikaji vipo ndani ya siasa safi na uongozi bora.
Tukiimarisha utawala bora na uwajibikaji katika nchi yetu, tatizo la ajira litaisha na kubaki kuwa historia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.