Wanyiha, ni watu wagumu sana mapenzini. Acha waoane wao kwa wao

Watu mnatukandia sana Wanyiha Eti tuna Roho mbaya Acheni hizo Njooni Huku Vwawa au Mlowo Mje mfanye utafiti wa Mnachokisema
Sema pia ni washamba kinoma Ila wanajitia ujuaji balaa. Kingine watu wasichokijua ni kuwa wapo wengine wanaokula mbwa km Wahehe. Hawa hasa wanapatikana Kijiji flani kinaitwa ICHESA kipo jirani na kijiji cha MAHENJE. kiongozi hayo mazingira yote mimi nimekanyaga kwa hiyo naonngea facts tipu.
 
Hata Kijiji cha Ukukwa wanakula mbwa na panya
 
Back
Top Bottom