Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 3,500
- 6,216
Nimekaa uko ila sikuona matukio ya kutusha zaid ya story.Ni kweli mna roho ngumu sana za kikatili, mpaka leo huku kwetu umalila mtu akitaka kumfanyia mwenzio jambo baya lazima aende kutafuta majeshi unyihani.