Wanyiha, ni watu wagumu sana mapenzini. Acha waoane wao kwa wao

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,968
156,198
Tumugoje tumuleshe?

Huo ndio msimbo wao, au password yao, ikiwa na maana "Tumuuwe au tumuache?"

Hawa watu ni wagumu sana kwenye mahusiano, ni makatili sana na Wana roho ya ajabu kabisa. Mwanamke anaweza kukuacha ndani u taabani, kwa kuumwa, akaenda kanisani akarudi usiku kisha akapitilizia kulala
 
Sio Wagumu tu ni kabila lenye watu wenye roho ya kikatili nadhani kuliko makabila mengi Tanzania wao kuua ni kitu cha kawaida tu.

Wakikaba kwenye Mlima Senjele walikua wanatumia huo msemo wao wa Tumghoghe au Tumleshe wakimaanisha tumuue au tumuache mmoja kati yao akiongea uuawe au uachwe utaachwa kweli au kuuawa sio watu kabisa hao ndio hao hao walipelekewa deal na Waganga kuhusu ngozi ya binadamu mpaka wakaanza kuchuna ngozi watu na pia huko Mbozi palikua na Mzee alikua anakodisha Bunduki na kutengeneza siraha ambazo Majambazi wengi wamezitumia kwenye utekaji Mkoa wa Mbeya...
 
Sio Wagumu tu ni kabila lenye watu wenye roho ya kikatili nadhani kuliko makabila mengi Tanzania wao kuua ni kitu cha kawaida tu..
Wakikaba kwenye Mlima Serenje walikua wanatumia huo msemo wao wa Tumghoghe au Tumleshe wakimaanisha tumuue au tumuache mmoja kati yao akiongea uuawe au uachwe utaachwa kweli au kuuawa sio watu kabisa hao ndio hao hao walipelekewa deal na Waganga kuhusu ngozi ya binadamu mpaka wakaanza kuchuna ngozi watu...
Ndio Watamu Sasa hao
 
Balaaa
 
Back
Top Bottom