Issuna
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,200
- 7,580
Mapenzi ni baina ya watu wawili mpenda na mpendwa, lakini ukiona mmoja wao haelewi afanye nini ujue kuna tatizo mahali.
Ndugu zangu nipo age ya 30+ (mwanaume) natamani kuoa at anytime ila katka pita zangu nilikuwa katika distance relationship na Mpenzi A (mama mtoto wangu)
Kutokana na umbali yeye mkoa A mimi mkoa B nikajikuta nimeanzisha mahusiano na Mpenzi B.
Ukweli ni kwamba Mpenzi B sina mtoto nae ila kimuonekano ni Mzuri Juu mpka chini hana kasoro ni aina ya wanawake ambao akikuptia mbele yako huwezi acha omba namba ni mzuri plus plus (wanaume nadhani tunaelewana)
Ananipenda 100% sina mashaka nae sinaaaa ila tu hamna mwanadamu asie na kasoro
kasoro ya kwanza ni Dini (ni muislam)
Ya pili ni Mswahili anapenda ushirikina mambo ya kwa kalmanzila haoni shida, kuchanjwa chale its ok with her hana shida eneo hilo shida akiwa nazo yeye ni kwa wataalamu, nk (kitu sikipendi kwakweli)
Kasoro ingine kuna wakati ana kiburi na madharau ukimkasirikia ukamnunia anajishusha anatubu unamsamehe yanaisha.
Ana wivu uliopitiliza (japo ni kawaida kwa mtu anatekupenda)
Hizi ni sifa zake
Ependo anao kweli,anajitoa kwangu,sina mashaka nae nikiumwa hawezi niacha nijiuguze mwenyewe anahudumia mgonjwa kwa viwango vya 5G,
Haombi hela hata siku moja huyu mwanamke, anafanya kazi hana tamaa kabisa. Hayo ni kwa Uchache.
Nije kwa MPENZI A ambae ni MAMA mtoto wangu.
Huyu kwenye Upendo sina mashaka nae ni mwanamke anayenipenda tuna mtoto mmoja japo hatujawahi ishi kwa karibu kama huyu mpenzi B kwani alipata ujauzito akiwa Chuo, baada ya hapo akaenda kwao, akajifungua Akarudi chuo kumalizia then kwao tena.
so unaweza pata picha namna hatuna ukaribu ule wa physical sana.
Ananipenda, anajitoa sana kwangu shida ndogo ndogo hizi za material things kuzitatua ni jambo la kawaida.. Shida za 1m, 2m, 3m kukupa ni simple tu, simu moja tu anatatua.
Anawapenda ndugu zangu sana, ni mpole mkimya sana.
Madhaifu yake ni mwanamke ambae si open sana kwangu ana siri siri flani ambazo haniambiii (hili nalijua)
Nikiumwa leo hiii yupo kwao ila hawezi inua mguu wake toka huko alipo akaja atatuma hela tu kwa ndugu zangu ziwasaidie kununua labda dawa, chakula, n.k
Nilishawahi taka kumuoa kipindi flani 2017 huko akakataaa kwasababu alisema hana biashara na hawezi kukubali kuolewa ategemee biashara zangu mwanaume hata kama namfungulia (japo baadae alikuja iruka hii point akasema aliniambia tu kwasababu kipindi hicho alikuwa hanielewi elewi)
Ni mwanamke ambae financially kwao wako vizuri ila namuona ni mwanamke ambae kwasababu ya uwezo wangu kipesa sasa ndio mana ananipenda, najiulizaga sana kama kweli ananipenda ni kwanini alinikataa kipindi kile,why now ana mchecheto wa ndoa sana?
Dini Ni mkristo, anamtunza mwanangu vizuri sana sana sana, Nikituma hela za matumizi ki ukweli kuna wakati anazikataaa anasema mtoto hana shida, na badala yake nitumie pesa hizo kufanya jambo lingine zuri kwa ajili ya future ya mtoto wetu.
Anajua naishi peke angu hivyo ni mwanamke ambae hamalizi wiki hajatuma vyombo, au mashuka ya chumbani au chochote cha nyumbani, anafungasha huko anatuma vinakuja.
Ananipenda ki ukweli...
Naombeni Ushauri kati ya hawa wanawake wawili nimuoe yupi.
Akili yangu inaniambia Nisioe wote nitulie, kisha uvumilivu utaomshinda akiolewa basi ambae atakua hajaolewa badi nimuoe.
Maana sijui na sielewi nafanyaje hapa na nahitaji kuoa sio kesho ila mwaka huu, Mahari ipo Mfuko wa Shati HAPA yani Mfuko wa Shati una 10m ambayo ni vikorombwezo vya mahari na mwanzo wa Ndoa nataka by December niwe na mke.
if not January isifike February. Harusi yangu haitokua na michango just mialiko tu watu waje washuhudie. Budget ya 10m kwa sherehe inatosha kabisa.
Mahari ikila 5m ikibaki 5m nkiongeza 5m so 10m inanitosha kabisa kufanya simple wedding party bila kuchangisha Mtu.
Ni harusi ya chap chap sana nataka ifanya Kamati ni kichwa changu.
ila kabla ya huko kote Je ni Nani kati ya hawa wanawake wawili mnanishauri nipite nae?
Niko serious wapendwa najua wengine mtanitania na comment za utani ila naomba mfahamu niko serious naomba nishaurini kitu.