Tuangalie upya Mfumo wa Elimu ya MASTERS & PHD

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
2,595
4,283
Hivi huu utaratibu wa mtu kusoma mfano Education (bila tourism hadi Masters) halafu afanye ka research ka Tourism apewe PHD

Eti kuanzia hapo atambulike kuwa amesoma Tourism hadi kupewa PHD naona haupo sawa.

Huyo mtu, akisimamishwa na mtu aliyesoma tourism kwa ngazi zozote (Certificate, Diploma, Degree nk) wote wanamshinda kwa mbali kabisa na hii ni kwa sababu hajasomea Tourism.
Fikiria mtu kama huyo apewe kitengo au kuwa mkuu wa Chuo cha Utalii eti kwa kuwa ana phD ya Tourism? hii inaweza kuwa chanzo cha migogoro kwenye Idara /taasis zinazo hitaji utaalam wa kazi kwani aliyeaminiwa anakuwa hana taaluma husika...

Kimsingi huwezi kulaumu mtu hata hao wanaoboronga huko badala ya kuja na strategies za kusaidia Mashirika (wananchi) kazi ni kukucopy na kupaste vitu vya wazungu vingine hata havipo applicable huku kwetu. Tatizo hapa ni kuwa, pamoja na kuwa na phD; Hawana Elimu husika!

Binafsi nahisi ipo haja ya kuangalia mfumo wa Elimu ya juu, watu wafanye research kwa masomo waliyosomea kwenye main course atleast kwa degree ya kwanza
Kuna jamaa ni HR nasikia amefanya ka reseach ka nutrition naye kapata PHD; sasa sijui atatambulika kama mtaalam wa Lishe?
 
😃 au ndio yale yaliyofanyika Arusha Kamishina wa tanapa hajui kazi yake wala hifadhi zinazopatikana Arusha
 
Hivi huu utaratibu wa mtu kusoma mfano Education (bila tourism hadi Masters) halafu afanye ka research ka Tourism apewe PHD

Eti kuanzia hapo atambulike kuwa amesoma Tourism hadi kupewa PHD naona kama hauko sawa.

Huyo mtu, akisimamishwa na mtu aliyesoma tourism kwa ngazi zozote (Certificate, Diploma, Degree nk) wote wanamshinda kwa mbali kabisa na hii ni kwa sababu hajasomea Tourism.
Fikiria mtu kama huyo apewe kitengo au kuwa mkuu wa Chuo cha Utalii eti kwa kuwa ana phD ya Tourism? hii inaweza kuwa chanzo cha migogoro kwenye Idara /taasis zinazo hitaji utaalam wa kazi kwani aliyeaminiwa anakuwa hana taaluma husika...

Kimsingi huwezi kulaumu mtu hata hao wanaoboronga huko badala ya kuja na strategies za kusaidia watu/Mashirika kazi ni kukucopy na kupaste vitu vingine hata havipo applicable huku kwetu....tatizo ni kuwa, pamoja na kuwa na phD; Hawana Elimu husika!

Binafsi nahisi ipo haja ya kuangalia mfumo wa Elimu ya juu, watu wafanye research kwa masomo waliyosomea kwenye main course atleast kwa degree ya kwanza
Ni kweli mkuu. Hoja yako ni sahihi. Unakuwaje na Shahada ya Uzamivu kwenye eneo ambalo hukubobea kwenye Shahada za awali?!?!

Vipi, kuna mtu amepewa ukuu wa chuo cha fani ambayo hajaisomea kwenye shahada ya kwanza??
 
Hivi huu utaratibu wa mtu kusoma mfano Education (bila tourism hadi Masters) halafu afanye ka research ka Tourism apewe PHD

Eti kuanzia hapo atambulike kuwa amesoma Tourism hadi kupewa PHD naona haupo sawa.

Huyo mtu, akisimamishwa na mtu aliyesoma tourism kwa ngazi zozote (Certificate, Diploma, Degree nk) wote wanamshinda kwa mbali kabisa na hii ni kwa sababu hajasomea Tourism.
Fikiria mtu kama huyo apewe kitengo au kuwa mkuu wa Chuo cha Utalii eti kwa kuwa ana phD ya Tourism? hii inaweza kuwa chanzo cha migogoro kwenye Idara /taasis zinazo hitaji utaalam wa kazi kwani aliyeaminiwa anakuwa hana taaluma husika...

Kimsingi huwezi kulaumu mtu hata hao wanaoboronga huko badala ya kuja na strategies za kusaidia Mashirika (wananchi) kazi ni kukucopy na kupaste vitu vya wazungu vingine hata havipo applicable huku kwetu. Tatizo hapa ni kuwa, pamoja na kuwa na phD; Hawana Elimu husika!

Binafsi nahisi ipo haja ya kuangalia mfumo wa Elimu ya juu, watu wafanye research kwa masomo waliyosomea kwenye main course atleast kwa degree ya kwanza
Kuna jamaa ni HR nasikia amefanya ka reseach ka nutrition naye kapata PHD; sasa sijui atatambulika kama mtaalam wa Lishe?
Sisi tatizo tunakurupukia na kuiga mambo yasiyo ya msingi. Nchi nzima tukijikita kwenye kilimo tutakuwa tumejikomboa.
 
Mtoa mada naona hata hujui unachoandika hapa jukwaani.
Ni mihemko tu.
 
Ni kweli mkuu. Hoja yako ni sahihi. Unakuwaje na Shahada ya Uzamivu kwenye eneo ambalo hukubobea kwenye Shahada za awali?!?!

Vipi, kuna mtu amepewa ukuu wa chuo cha fani ambayo hajaisomea kwenye shahada ya kwanza??

Kiongozi hatupo hapa kuharibia watu nafasi zao kwani, hata kama wapo wamepewa hizo nafasi kutokana na mfumo wetu wa Elimu ya juu ambao ndio tunapendekeza maboresho
 
Back
Top Bottom