Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

Ukifanikiwa kuwa na growth mindset ndo pale watu ambao walikuwa wanakuona umestuck au umekwama wataanza kusema Una maono makubwa.

Growth mindset huwa ni kuwa positive kila wakati na kuamini unaweza kupata chochote na kufanikiwa

Hivyo MTU mwenye growth mindset hujikita kujifunza kila siku na kusahau changamoto zake za nyuma .

Ukiwa Una-chase dreams zako hapo hapo ukawa na hofu kuwa huwezi kutoboa hii hali huwa inajiumba na kuwa kweli.

That is way huwa hamna mtu smart Ana yea mini katika impossible au ambaye anatosheka na maarifa aliyonayo.

Keep striving
Keep learning
Be positive 24/7
Great kuongezea atafute kitabu cha break the habit of being yourself
 

Attachments

  • Screenshot_20240326-215552_Instagram.jpg
    Screenshot_20240326-215552_Instagram.jpg
    480.8 KB · Views: 4
  • emotional-intelligence.pdf
    2.2 MB · Views: 3
  • 9781848508569.pdf
    4 MB · Views: 2
Back
Top Bottom