Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

msijari wakuu, information zote zikimaliza kupitiwa, na mipango yote kuandaliwa on how it will be done , makubaliano yakimalizika kwenye vikao vya board taarifa itatolewa na tume na tarehe itatangazwa.

kuweni wavumilivu, soon mtakua updated
 
Haina noma Ngoja tusubir till to the end
 
Kitendo cha kushusha kwa watendaji wa kata,ni dhahiri wametengeneza mazingira ya RUSHWA,kama tu kipindi cha SENSA.Wanaotoa haya matangazo,wanakua kama vile hawajui utamaduni wa hapa Tanzania.Hapo Kuna barua hazitapelekwa kwa Wakurugenzi,zitaachwa makusudi kwa sababu za itikadi za vyama,wengine hazitapelekwa kwasababu ya watendaji wa kiume kukataliwa kupewa rushwa za ngono na mambo mengine mengi.
Unayosema ni sahihi. Watendaji wa hapa mjini wamekaa na hizo bahasha na wamewala watoto wa watu na rushwa za wazi wazi. Watendaji wanajiona madon.
 
Back
Top Bottom