Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

msijari wakuu, information zote zikimaliza kupitiwa, na mipango yote kuandaliwa on how it will be done , makubaliano yakimalizika kwenye vikao vya board taarifa itatolewa na tume na tarehe itatangazwa.

kuweni wavumilivu, soon mtakua updated
 
Haina noma Ngoja tusubir till to the end
 
Kitendo cha kushusha kwa watendaji wa kata,ni dhahiri wametengeneza mazingira ya RUSHWA,kama tu kipindi cha SENSA.Wanaotoa haya matangazo,wanakua kama vile hawajui utamaduni wa hapa Tanzania.Hapo Kuna barua hazitapelekwa kwa Wakurugenzi,zitaachwa makusudi kwa sababu za itikadi za vyama,wengine hazitapelekwa kwasababu ya watendaji wa kiume kukataliwa kupewa rushwa za ngono na mambo mengine mengi.
Unayosema ni sahihi. Watendaji wa hapa mjini wamekaa na hizo bahasha na wamewala watoto wa watu na rushwa za wazi wazi. Watendaji wanajiona madon.
 
Hakiisha simu yko haizimi chaji wikii hii pia isiwe silent, andaa cadet zako na lile shati zuuri na mokas ipigr kiwi mapema yani ni simu moja,
Uwe na uwezo wa kutofautisha L na R
Uwemsharp wa kusikiliza na kuandika utatajiwa majina 100 uyaandike kiusahihi
Kumbuka jina either liwe na herufi kibwa tupu au jin lianze na herufi kubwa⁷
Jua nani anatkiwa kuandikishwa ktk daftari
-aliefikisha 18+ au atafikisha siku kabla ya tar ya uchaguzi
-aliepoteza id
-alieharibu au kuharibika
-kiichokosewa
-aliehama eneo alilojiandikishia mwanzo
-mtanzania halisi
Je waweza fanya kazi hii kwa usahihi
Ndio naweza kufanza kwa usahihi endapo nikipata mafunzo ya jinsi nitakavyotakiwa kufanya hii kazi kulingana na tume inavyotaka iwe
 
Imekaa sawa
 
Back
Top Bottom