GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,114
- 110,496
Yaani wenyewe mmetoa Tangazo lenu kuwa kuanzia sasa mtaitwa TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI badala ya TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI halafu katika Barua yenu mmeendelea Kujitambulisha vile vile kuwa nyie ni TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI.
Kuwa Kwangu sasa nchini Uganda haimaanishi kuwa bado siendelei kufuatilia ya huko Tanzania. Badilisheni upesi Okay?
Kuwa Kwangu sasa nchini Uganda haimaanishi kuwa bado siendelei kufuatilia ya huko Tanzania. Badilisheni upesi Okay?