Zitto Kabwe: Tume ya sasa ya Uchaguzi (NEC) inapaswa kujiuzulu ili kuruhusu kupatikana kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,831
4,586
Kiongozi mstaafu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema, Tume ya sasa ya Uchaguzi (NEC) inapaswa kujiuzulu ili kuruhusu kupatikana kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kwa mujibuwa sheria.

Zitto ametuma akaunti yake ya X kuzungumzia suala hilo. Ni saa chache kupita tangu Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Mobhare Matinyi kueleza mabadiliko rasmi ya jina la tume ya INEC yataanza Aprili 12, 2024.

Katika ujumbe wake Zitto anasema: “Kuanzia keshokutwa Aprili 12, 2024 Sheria Mpya ya Tume Huru ya Uchaguzi inaanza kutumika kwa mujibu wa GN no. 225 ya 29 Machi, 2024.

“Endapo masharti ya Kifungu cha 5 cha Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ya Mwaka 2024 hakitafuatwa basi, hatutakuwa na tume iliyo ofisini, kwa sababu Tume ni makamishina na mwenyekiti wao.

“Kujibanza kwenye kifungu cha 27 cha sheria mpya hakuna mantiki yoyote. Najua wengi, kwa bahati mbaya hata wana mageuzi wa muda mrefu, wamelalia kwenye hoja hii dhaifu kuhalalisha Tume ya sasa kuendelea. Watu wanaowaza hivi wangekuwa Afrika Kusini wangemwacha Mandela afie jela kwa sababu apartheid ilikuwa halali kisheria, lakini apartheid haikuwa haki wala halali kisiasa.

"Tume ya Uchaguzi ya sasa ikibakia ofisini baada ya Aprili 12, 2024 itakuwapo kisheria lakini haitakuwa na uhalali wa kisiasa. Mchakato wa uchaguzi ni mchakato wa kisiasa tena wenye misingi ya TRUST.
 
Huyu jamaa anapogusia TRUST Kwa msingi wa kwamba wakiondoka hao waliopo,wakiingia wengine,hiyo TRUST itakuwepo,mbona ananitia mashaka katika kuwaza kwake?
Wakifanya anavyotaka inamaana Rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM,si atateua wengine wenye mlengo uleule?
Mi naona anahalalisha ujingaujinga tu,Kwa manufaa ya chama chake.
 
Naunga mkono hoja ya Zitto
P
 
Ukimfuatilia vizuri ni kama mtu anayeona bora ccm waendelee kutawala kuliko kuingia wapinzani hasa cdm. Utamsikia akisema wao ACT Kuna mambo waliyataka na yamekubaliwa, hayo mengine wataendelea kuyapigania.
 
MALISA GJ.

Uhuru uwe katika muundo na utendaji, sio jina. Yani kweli na vitambi vyenu vya tozo mmekaa mkaona mkibadili jina tayari tume inakua huru? Yani mmebadili jina lakini composition imebaki ileile na utendaji uleule. Sasa hapo tume imekuaje huru?

Mnajiita Tume huru lakini Rais bado anamteua Mwenyekiti wa Tume? Tume huru lakini Rais bado anateua Makamishna wote wa Tume? Tume huru lakini Rais bado anawateua wasimamizi wa uchaguzi ngazi za majimbo? Huo uhuru uko wapi? The funy thing Rais huyohuyo ni Mgombea. Yani Mamelodi imteue Refa wa mechi yake na Yanga halafu wanaYanga waamini mchezo utakua huru na wa haki? Labda wawe na kifuduro.!

Achana na composition, nenda kwenye utendaji. Tume inafanya kazi kama sekretarieti ya CCM. Mgombea wa upinzani akiwekewa pingamizi hata kama ni uzushi anaenguliwa. Mgombea wa CCM akiwekewa pingamizi hata kama ni la kweli analindwa. Wasimamizi wa uchaguzi wote ni makada wa CCM. Halafu eti mnajiita tume huru? Wahuni watupu.

Hapo Kenya Tume yao inaitwa Tume huru ya uchaguzi kwa sababu composition yake ni fair na utendaji wake ni wa haki. Rais wa Kenya hamteui Mwenyekiti wa Tume, bali kuna mifumo inayochuja na Rais anapelekewa jina kwa ajili ya endorsement tu. Makamishna wa Tume wanateuliwa kutoka vyama vya siasa, taasisi za dini, Baraza La Habari, Asasi za kiraia na Chama cha mawakili Kenya. Tume inakua huru kweli.

Lakini hapa kwetu Makamishna wote wa Tume ni makada waandamizi wa CCM. Na wanateuliwa na Mwenyekiti wa CCM taifa. Halafu mnnajiita Tume huru? Uhuru wa manyani au uhuru gani?

Nasikitika kuona jinsi "wahuni" wanavyom-mislead SSH kwenye mambo mengi. Sio hili la Tume tu, kuna vitu kibao wamempeleka chaka na hata hashtuki? Sijui wamemloga au battery low?

Mtu anakudai IST wewe unampa Bajaj. Anakomaa kudai IST yake. Unachofanya unaenda kuondoa kibao cha Bajaj unaweka cha IST. Halafu unasema kuuanzia leo hii itaitwa IST. Yani tumegeuzwa mandondocha?

Watanzania tudai Tume huru ya Uchaguzi. Tusikubali kufanywa mandondocha na hawa "mabwanyeye" waliovimbiwa Kodi zetu. Tunachotaka ni Tume huru ya uchaguzi yenye muundo huru na utendaji huru, isiyoingiliwa na watawala. Sio kubadili jina halafu mseme Tume imekua huru. Bata, Wahed.!

C& P
 
Well said comrade. Kwa Tanzania mahitaji ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi bado ni safari ndefu. Kwa kadri madai ya haki za demokrasi ktk nchi yetu bado yanategemea utashi na fadhila ya Rais ambaye ni kada wa chama tawala tukubali nchi yetu yahitaji maombi.
 
Kiongozi mstaafu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema, Tume ya sasa ya Uchaguzi (NEC) inapaswa kujiuzulu ili kuruhusu kupatikana kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kwa mujibuwa sheria.

Zitto ametuma akaunti yake ya X kuzungumzia suala hilo. Ni saa chache kupita tangu Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Mobhare Matinyi kueleza mabadiliko rasmi ya jina la tume ya INEC yataanza Aprili 12, 2024.

Katika ujumbe wake Zitto anasema: “Kuanzia keshokutwa Aprili 12, 2024 Sheria Mpya ya Tume Huru ya Uchaguzi inaanza kutumika kwa mujibu wa GN no. 225 ya 29 Machi, 2024.

“Endapo masharti ya Kifungu cha 5 cha Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ya Mwaka 2024 hakitafuatwa basi, hatutakuwa na tume iliyo ofisini, kwa sababu Tume ni makamishina na mwenyekiti wao.

“Kujibanza kwenye kifungu cha 27 cha sheria mpya hakuna mantiki yoyote. Najua wengi, kwa bahati mbaya hata wana mageuzi wa muda mrefu, wamelalia kwenye hoja hii dhaifu kuhalalisha Tume ya sasa kuendelea. Watu wanaowaza hivi wangekuwa Afrika Kusini wangemwacha Mandela afie jela kwa sababu apartheid ilikuwa halali kisheria, lakini apartheid haikuwa haki wala halali kisiasa.

"Tume ya Uchaguzi ya sasa ikibakia ofisini baada ya Aprili 12, 2024 itakuwapo kisheria lakini haitakuwa na uhalali wa kisiasa. Mchakato wa uchaguzi ni mchakato wa kisiasa tena wenye misingi ya TRUST.
si hata kwenye uchaguzi wa kisiasa ni hivyo hivyo tu. Maana baada ya uchaguzi matokeo yakitangazwa....

ukishinda wewe uchaguzi ni wa haki
na kisheria ni halali, lakin ikitokea umeshindwa, uchaguzi huo huo unakua haukua wa haki na wa wazi kwa hivyo
kisiasa umeibiwa kura 🐒

maana yake Tume Huru ya Uchaguzi itakua halali kisheria pale tu utakaposhinda wewe uchaguzi, lakin ukishindwa Tume Huru ya Uchaguzi inakua batili kisiasa 🐒
and that is politics 🐒
 
Kujiuzulu SI utamaduni wetu watu watajibadilishamo ndani kwa ndani jombaa! Kimsingi nijina tuu limebadilika lkn mapigo niyaleyale wasimamizi husema sio ashinde,ashinde Kwa kishindo!
Hata Zitto alipokuwa mwenyekiti wa kamati ya bunge ya mahesabu ya mashirika ya umma wakati tunapiiiigwa mashirika yanatangaza hasara za uongo na ilipojulikana tunapigwa mmno HUKUJIUZULU ZITO ACHA UNAFK!!
 
Mabadiliko makubwa na chanya huwa yanakuja na maumivu makubwa. Tunatamani mabadiliko ila hatuna utayari wa kupambana na maumivu makali yatakayotuponya. Maamuzi yako mikoni mwetu sisi raia.
 
Back
Top Bottom