cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 87,184
- 140,139
Ila kweli aiseeee!!Mnaangaika bure nendeni mkawahonge pesa Watendaji wa kata watawapa hizo nafasi, hazihitaji cv yoyote zaidi ya kujuwa kusoma na kuandika na kutumia electronic device basi.
Ila kweli aiseeee!!Mnaangaika bure nendeni mkawahonge pesa Watendaji wa kata watawapa hizo nafasi, hazihitaji cv yoyote zaidi ya kujuwa kusoma na kuandika na kutumia electronic device basi.
Basi sawa nimekuelewaa!!!Sasa na wewe tangu lini barua ya maombi na cv ikawa pamoja?
Tunashuka nao km kawaaaa!!Sawa tuko nao sambamba
Tusubiri walio tuma maombi watwambie maana tukishuka nao itakua ngumu kupanda au unasemajeTunashuka nao km kawaaaa!!
Wee bado hujatumaa?Tusubiri walio tuma maombi watwambie maana tukishuka nao itakua ngumu kupanda au unasemaje
Hao hawakupiga dodoso la jamii ndo maana waliishia apoWatu waliishia kula 570k, afu wakiwa na mategemeo ya 1M+
NdioHivi jamanii barua ya maombi, na karatasi ya CV zinakua tofauti?
Maana mambo ni mengi chaaah!!
Hatarii tupuu, bas walikua wanalalama hao hatariii.Hao hawakupiga dodoso la jamii ndo maana waliishia apo
Sawaa!!Ndio
Haha ndo maisha..Hatarii tupuu, bas walikua wanalalama hao hatariii.
Apana apo hakuna pesaWee bado hujatumaa?
Ni noma hiyo ndio maana ya kauli ya mama anaupiga mwingi.hayaaa maajabu, na haijawahi kutokeaa.
Great kuongezea atafute kitabu cha break the habit of being yourselfUkifanikiwa kuwa na growth mindset ndo pale watu ambao walikuwa wanakuona umestuck au umekwama wataanza kusema Una maono makubwa.
Growth mindset huwa ni kuwa positive kila wakati na kuamini unaweza kupata chochote na kufanikiwa
Hivyo MTU mwenye growth mindset hujikita kujifunza kila siku na kusahau changamoto zake za nyuma .
Ukiwa Una-chase dreams zako hapo hapo ukawa na hofu kuwa huwezi kutoboa hii hali huwa inajiumba na kuwa kweli.
That is way huwa hamna mtu smart Ana yea mini katika impossible au ambaye anatosheka na maarifa aliyonayo.
Keep striving
Keep learning
Be positive 24/7
Soma ivi kwa umakini hasa io ya 2Pm umefunga nshajaribu kuja mara kibao, naomba unicheki mie kama hautajali....thanks.
Ubarikiwe sana, ahsante mkuu ....Soma ivi kwa umakini hasa io ya 2
Sijafaham