GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,115
- 110,505
Huyu Mrembo wa Kinyankole hapa Uganda sitaki nimkose na anapenda sana Kujua Kiswahili hivyo nisaidieni nisimkose.
Huyu hata hayupo Uganda.Uganda tu hapo kelele kibao, we jamaa inaonekana ulikua huna exposure kabisa
aiseee watanzania wana roho mbaya sana. Sasa ulitaka asifurahie maisha sababu kafika uganda? Kwa mujibu wa viwango gani nchi fulani ukifika ndo una exposure?Uganda tu hapo kelele kibao, we jamaa inaonekana ulikua huna exposure kabisa
Hiki ndiyo Kitabu au Chapisho nililolitaka?Uganda tu hapo kelele kibao, we jamaa inaonekana ulikua huna exposure kabisa
Genta ana mwezi Uganda na nyuzi 60 za Uganda....hakuna hata Moja anayotoa hata fursa Yani zote za kijinga tuaiseee watanzania wana roho mbaya sana. Sasa ulitaka asifurahie maisha sababu kafika uganda? Kwa mujibu wa viwango gani nchi fulani ukifika ndo una exposure?
Chapisho la kukuchapa wapi?Hiki ndiyo Kitabu au Chapisho nililolitaka?
Sometimes try to come to your Senses you Silly okay?Chapisho la kukuchapa wapi?
Fursa zinakuja namalizia kuandaa Project ambayo pia itanilazimu kuja huko Tanzania kukutana na Mawaziri Waandamizi Wawili kisha nitaenda Zanzibar, Rwanda na Kenya. Kuna Kitu nakifanya ambacho nataka niache Alama kwa wana Afrika Mashariki kwa Kusaidia Wachache ambao nitawaweza. Vuta subira Wewe Juha na HATER sawa?Genta ana mwezi Uganda na nyuzi 60 za Uganda....hakuna hata Moja anayotoa hata fursa Yani zote za kijinga tu
Hadhi yangu ya sasa siyo ya kufanya huo Ushamba ila kwa Wanaonijua Physically soon wataniona nikiwa naongozana na nani.watasema utupie kapicha ukiwa hotelini na mtoto wa kibanyankole
Poa Mimi juha na hater navuta subraFursa zinakuja namalizia kuandaa Project ambayo pia itanilazimu kuja huko Tanzania kukutana na Mawaziri Waandamizi Wawili kisha nitaenda Zanzibar, Rwanda na Kenya. Kuna Kitu nakifanya ambacho nataka niache Alama kwa wana Afrika Mashariki kwa Kusaidia Wachache ambao nitawaweza. Vuta subira Wewe Juha na HATER sawa?
Vuta tu Mkuu si mdhani GENTAMYCINE natania tu? Endeleeni Kukariri Maisha na kudhani kuwa Maisha ni yale yale tu 24/7.Poa Mimi juha na hater navuta subra
Uwahi ukameze dawaHuyu Mrembo wa Kinyankole hapa Uganda sitaki nimkose na anapenda sana Kujua Kiswahili hivyo nisaidieni nisimkose.
Na bado Kudadadeki zenu FOOLS, HYPOCRITES and HATERS hapa.Dunia ina mengi
Mama yako Mzazi Yeye yake ameshaimeza?Uwahi ukameze dawa
Babako kashameza na anaenda kubanduliwaMama yako Mzazi Yeye yake ameshaimeza?
Kama vile ilivyo na kwa Baba yako Mzazi.Babako kashameza na anaenda kubanduliwa