Siku hii ndio nilishuhudia, niliamini na kuthibitisha kwamba mapenzi hayana wala hayajali umri

Hongera mkuu!
Nishateguka kiuno.

 
Tofautisha kati ya utoto na mtoto/watoto. Ndio maana narudia acha utoto
ukiwa na perfection sense saa zingine ni mzigo sana, na unatatiza usipate mambo fulani ambayo huna, usielewe au kujua mambo kadha wa kadha usiyoyafahamu 🐒

ndio sasa utaona everything ni useless na none sense kwako, na ingawa ni haki yako ufurahie .

haki ya kukosa mambo mazuri 🐒
 
Mkuu umejiandaaje kupambana na incumbent? Maana huwa wana muscles kuliko wewe.

Unaweza kujiona una wafuasi wengi kwa macho, ila sasa in reality watu wana mikakati mingi sana.
did you pass through my article on first time I contested position of mp, after I finished the 3rd year last semester paper with only laki5 cash in hand. Incumbent was there and he was beaten like burukenge on a ballot box 🐒
 
Na ndiyo muhimu kwa afya yako. Inywe tu.

Hata hivyo, mimi sijakuandalia chai. Nakuambia ukweli.

Honestly, mimi nilikuwa napiga sana sarakasi. Ila uzee huu, kwa sasa hapana.
pia nagonga sana sambasoti, shungFan, ishi, stua n.k mpaka leo licha ya wanaonifahamu kunibeza ati siwezi kwasabb ya kafriza ka kiana nilikonako, but for sure naruka sarakasi vizuri sana na ni sehemu ya mazoezi yangu nikienda kufukuza upepo na kutafta pumzi uwanjani 🐒
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom