Nimegundua kuwa umri hauna maana yoyote kwenye mapenzi

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,830
10,041
Na ndipo napata kuamini kwamba kumbe hata mwanamke mwenye miaka zaidi ya 30 anaweza kuolewa vizuri tu! Kikubwa ni ku fall in love (Sina maana kuwa thirty plus mjipe moyo, ila ni kwa vile nimeangukiwa na kitu kizito chenye ncha kali ilhali siyo kawaida yangu)

Siku chache zilizopita nilianza mahusiano ya kimapenzi na mwanadada ambaye amehamia mitaa ya kwetu mwezi April, Kwa ufupi ni binti mzuri sana mwenye sura ya kitoto, mtoto safi, mweupe, shape ipo! Hana mambo mengi! Ingawa kapanga, ana chumba chake, lakini si kiruka njia! Nilimchunguza sana kipindi hicho anahamia pale, sio mtu wa kuongea ongea sana, hivyo kwenye vile vikao vya wakinamama husingeonana nae!

Kwa muonekano wake tu nilikuwa tayari nishakuwa teja wa mapenzi! Kila alfajiri nilitoka ndani ya chumba changu na kutazama mlango wa chumba chake, angeonekana akitoka baada ya muda mfupi huku kajifunga khanga yake tayari kwa kwenda kuoga! Au angelikaa kwenye kisturi na khanga yake tayari kwa kufua ama kuosha vyombo! Alifahamu fika kuwa nimevutiwa naye, hivyo tulikuwa tukitazamana kwa kuibiana na kwa tabasamu, lakini mwisho wa siku nilijikuta nimekwisha mgegeda pasipo kutongozana!

Kuna siku nilimtembelea nyumbani kwake baada ya yeye kunihitaji, katika tazama tazama ya huku na huko nilibahatika kuona cheti chake cha kuzaliwa chenye majina ambayo hayana utofauti na majina yaliyosajiliwa kwenye simcard yake!

Cha ajabu, mwaka wa kuzaliwa uliokuwa pale ni 1980, nilistaajabu sana na ndipo kumsubiri ili kumuuliza, akakiri na akasema,"Ndio maana nilikwambia mimi ni mkubwa kwako, ila ukazidi kung'ang'ana tu". Nilijikuta natabasamu tu! Umri wangu mwenyewe 20 to 24 yrs!
 
Siku ukikosea kidogo atakwambia "ebu acha utoto wako ukiwa na mm" Jokes

Ni kawaida tu na kuna mda ni rahis kumhandle kuliko hao walika lako.
 
Na ndipo napata kuamini kwamba kumbe hata mwanamke mwenye miaka zaidi ya 30 anaweza kuolewa vizuri tu! Kikubwa ni ku fall in love (Sina maana kuwa thirty plus mjipe moyo, ila ni kwa vile nimeangukiwa na kitu kizito chenye ncha kali ilhali siyo kawaida yangu)
Hahahaha.....demu amekuzidi umri mara 2 unasifia eti "sura ya kitoto, mtoto safi"!!
Mapenzi noma. Umeshapenda, chongo tayari unaita kengeza!!
 
April mwaka huu? Tayari Usha fanya report na proposal kabisa na conclusions? Hujui wanawake wewe
 
Hahahaha.....demu amekuzidi umri mara 2 unasifia eti "sura ya kitoto, mtoto safi"!!
Mapenzi noma. Umeshapenda, chongo tayari unaita kengeza!!
Hebu amuoe tuone kama alichokifafanua kitawezekana. 2050 nchi itakuwa na wazee wa hovyo sana
 
Back
Top Bottom