Serikali: Sheria ya Ulinzi wa taarifa Binafsi na Kanuni zake vipo tayari kwa matumizi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,926
12,213
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 51 leo Juni 20, 2023.



Serikali imekamilisha utungaji wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na imeanza kutumika tangu Mei 1, 2023.

Kuhusu kanuni za Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi zilisainiwa Mei 6, 2023 na Waziri wa Habari, Mawasiliani na Teknolijia ya Habari na zipo tayari kwa ajili ya kutumika nchini.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew Bungeni wakatyi akijibu Swali la Mhe. Neema Lugangira, Mbunge wa Viti Maalimu aliyetaka kujua ni lini Serikali itakamilisha mchakato wa utungaji wa kanuni za Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi.
 
Back
Top Bottom