Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

Bado kuna swala la uuzaji wa jezi hauna ukaguzi wowote wala maelezo ya timu inafaidika vipi ktk mauzo hayo. Ujanja huu unatufanya tuwe tegemezi kwa kila nyanja iwe usajili hata uendeshaji wa timu unamtegemea mtu mmoja ambapo ni jambo la hatari sana kwa maendeleo ya timu.
Huna akili kuhusu jezi hujui mkataba ulitangazwa kapewa Sandaland
 
Huyu MO atuache tu kama inawezekana japo anatoa hela kwa uwezo wake ila drama zinamzonga sana amekua mtu wa kuzungukwa na matukio sana.

Nikikumbuka kuna watu walishawahi changia mchango wa uwanja ila mpaka leo kimya ndo nazidi kutokumuamini Guvu moya

Sasa bakhressa akiwa na asilimia hapa unyamani itakuaje maana si mmiliki wa Azam FC?
Hilo haliwezekani sababu ni mmiliki wa azam tayari
 
Huyu MO atuache tu kama inawezekana japo anatoa hela kwa uwezo wake ila drama zinamzonga sana amekua mtu wa kuzungukwa na matukio sana.

Nikikumbuka kuna watu walishawahi changia mchango wa uwanja ila mpaka leo kimya ndo nazidi kutokumuamini Guvu moya

Sasa bakhressa akiwa na asilimia hapa unyamani itakuaje maana si mmiliki wa Azam FC?
Ukweli ni kwamba kama sio SSB kupewa Simba basi bado mtaendelea kumuhitaji Dewj pamoja na drama zake zote hizo.
 
Bado kuna swala la uuzaji wa jezi hauna ukaguzi wowote wala maelezo ya timu inafaidika vipi ktk mauzo hayo. Ujanja huu unatufanya tuwe tegemezi kwa kila nyanja iwe usajili hata uendeshaji wa timu unamtegemea mtu mmoja ambapo ni jambo la hatari sana kwa maendeleo ya timu.
Huko kwenye jezi ndiko kuna balaa Mkuu. Watoto wa mjini ndio wameshika mpini, Sandaland yuko pale kama bendera tu.
 
Back
Top Bottom