Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 31,682
- 65,989
- Thread starter
- #21
Wewe walau unafahamu kinachoendelea.Mo alikuwa hatoi pesa huku akiubana uongozi kwa mikataba yake ambayo kwa kiasi kikubwa ilikuwa inamnufaisha yeye. Baada ya kuona hiyo changamoto Mangungu na Try again walikutana na Bakhresa Zanzibar ili wafanye taratibu za kumwondoa mo Kama mwekezaji mpya. Bahati mbaya kwao na nzuri kwa mo alipata habari hivyo mo akaanza kulipa watu waanzishe kuendesha kampeni ya kumwondoa Mangungu na Try again.
Ni muda utaongea.