mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 16,311
- 36,847
Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza.
Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia damu endapo ingehitajika, kwa umaarufu wao wasingekosa mtu wa kuwaletea uji hospitali, hata wangetaka mtu wa kuwapa figo wangepata.
Ruge alionekana kuwa happy na maisha yake japo kuna tetesi alikuwa anamchumbia Nandy. Kibonde alikuwa ametoka kufiwa na mke wake mwaka mmoja ulliopita. Gardna yeye amekuwa bachelor kwa miaka zaidi ya kumi.
Funzo tulilopata, hawa jamaa waliishi maisha yao na furaha usoni ilionekana, hawakutaka kuoa kufurahisha mtu.
Hawakuendekeza ndoa ila walihakikisha wamezaa watoto ili kuendeleza uzao.
Sio lazima kuishi miaka mingi 50 tu inatosha, kikubwa timiza kilichokuleta duniani, hao mabroo hakuna aliyevuka 51.
Bila ndoa hutoboi 50