walio na akili timamu na wasio na mapepo hao hapo wanakata moto na ngomaNaona kuna shida kichwani, sidhani kama kuna mtu timamu chini ya jua anayeweza kujisifu kwa kupiga Punyeto. Kimwili we ni mgonjwa wa akili na kiroho, una mapepo.
kwa hiyo ukiwa na ndna unatoboa 50!, basi kama ni hivyo fasta tunaoa ili tuvuke hiyo miakaNimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza.
Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia damu endapo ingehitajika, kwa umaarufu wao wasingekosa mtu wa kuwaletea uji hospitali, hata wangetaka mtu wa kuwapa figo wangepata.
Ruge alionekana kuwa happy na maisha yake japo kuna tetesi alikuwa anamchumbia Nandy.
Kibonde alikuwa ametoka kufiwa na mke wake mwaka mmoja ulliopita.
Gardna yeye amekuwa bachelor kwa miaka zaidi ya kumi.
Funzo tulilopata,hawa jamaa waliishi maisha yao na furaha usoni ilionekana, hawakutaka kuoa kufurahisha mtu.
Hawakuendekeza ndoa ila walihakikisha wamezaa watoto ili kuendeleza uzao.
Sio lazima kuishi miaka mingi 50 tu inatosha, kikubwa timiza kilichokuleta duniani, hao mabroo hakuna aliyevuka 51.
Bila ndoa hutoboi 50
mama yake yuko wapi?Mtoto wa Gadner ni mzuri, kataa ndoa oeni.
😁😁Bila ndoa hutoboi 50
mwanamama piga hesabu vizuriKibonde alikuwa na Mke. Hawa wengine walioa kwa muda, Umalaya ukawaharibu.
Research Yako ni rubbish
Duuu mmekata sana tamaaVilaza hamuwezi kuelewa,somo ni kuwa Bila ndoa hutoboi 50
Ntumie namba nikupeleke kwakeTutajuaje kama kweli huyo mama yupo?
ulivyo flow tu umenifurahisha sana, thanksThere may be several reasons why some people believe it is better to stay single and not get married. Some of these reasons may include:
1. Independence: Being single allows individuals the freedom to make their own decisions and live their lives according to their own desires without having to consider the needs or preferences of a spouse.
2. Personal growth: Staying single can provide more opportunities for personal growth and self-discovery. Single individuals can focus on their own personal development, goals, and interests without being tied down by the responsibilities of marriage.
3. Financial stability: Staying single can provide financial stability as individuals do not have to share their income or assets with a spouse. This can provide a sense of security and peace of mind in terms of financial independence.
4. Avoiding relationship conflicts: Being single can help individuals avoid the potential conflicts and challenges that often arise in marriages. Staying single can help individuals avoid the emotional stress and turmoil that can come with romantic relationships.
5. Enjoying more social freedom: Staying single can provide more opportunities for socializing and forming relationships with a wide range of people. Single individuals may have more time and flexibility to spend time with friends, pursue hobbies, and engage in social activities without the constraints of marriage.
Ultimately, the decision to stay single and not get married is a personal one and will vary depending on individual preferences and priorities. It is important for individuals to carefully consider their own values, goals, and desires when deciding whether or not to pursue a romantic relationship or marriage.
Yupo anaishi mwanza......kwenye picha clouds wamempost sanamama yake yuko wapi?
Si wamesema Wameachana 2015Tena zaidi ya miaka 10
100% true! Maana unakua una uhuru kupitiliza so kama ni ME ndo uta loose selfcontrol(starehe) mwisho wa siku majanga..Ukiwa kilaza huwrzi kuelewa moral of tbe stoty.mke wa kibonde alishakufa mwaka mkoja kabla,chs kujifunza ni kuwa ukiwa bachelot utakufa mapema
kuna wanawake ni washenzi sana, kaburi bado bichi mme wake hajaoza tayari mke anapelekewa moto bila aibu. Walau asubiri mwaka mmoja ndo aanze kupekechwa, manina zao wanaudhi sanauzurii wa singles hata ukifaa nduguu ndioo wanajiliwaza na malizako sio uko kaburini unawaza kha pdidy anansaidiaa nn mkewangu mda huu sikia kwa mwenzioo
Wale walianza zinguana miaka ya 2007 huko, kipindi hicho Jay De ana Machozi Band! Walitengana mwaka 2010 na baada ya hapo Jay De akaanza kutunga nyimbo za kebehi kwa ajiri ya Gardiner.... Kumbuka hata wanaume kama mabinti ni wimbo aliimbiwa Gardiner na kipindi hicho wote walikua pamoja!Si wamesema Wameachana 2015
Wale walianza zinguana miaka ya 2007 huko, kipindi hicho Jay De ana Machozi Band! Walitengana mwaka 2010 na baada ya hapo Jay De akaanza kutunga nyimbo za kebehi kwa ajiri ya Gardiner.... Kumbuka hata wanaume kama mabinti ni wimbo aliimbiwa Gardiner na kipindi hicho wote walikua pamoja!
Baada yakuachana sasa, ngoma zikaanza The ndindi,Mambo matano,Yahya! Na nyingine nyingi!