Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

Hamna kataa ndoa hapo,ila kama unapendelea kuwa mseja na wewe ni mkristo inaruhusiwa so uko huru..

Biblia inasemaje kuhusu useja?
1 Wakoritho 7:32-38
"Yeyote nayefunga ndoa anafanya vyema,lakini yeyote asiyefunga ndoa atafanya VYEMA zaidi.
Ukiwa mseja,ukaishi maisha ya kumoendeza Mungu utapata wakat mzuri wa kumtumikia yeye bila kuzongwa na majukumu ya ndoa,tatizo la useja mnaoutaka vijana wa siku hizi ni ule wa kufanya umalaya ndio maana unaona siku za kuishi zinakuwa chache Kwa ajili ya lifestyle..
Mwanangu,Tlaatlaah kama utaamua kutooa basi mtumikie Mungu
asanti sana mama,

sauti ya wito wa Mungu katika maisha yangu ni NDOA, na si vinginevyo. Nafurahi kukuarifu na kukuhakikishia kwamba, nimeitikia wito wa Mungu na wako wewe mama yangu kipenzi sana Joannah na kuutekeleza kadiri ya mpango wake Mungu:spandauB:
 
We nawe utakuwa unapumuliwa. Yaani ulimwengu wa sasa ulivyo na watoto wazuri hivi kama huyu binti Konda wa Kimbinyiko ya kutoka Mbeya kwenda Dodoma leo alafu we una kazi ya kutusumbua humu na punyeto. Pumbavu kabisa. Jamaa yupo sahihi, una shida wewe ya kiakili. Maskini mkubwa.
Pumbavu tena
 
asanti sana mama,

sauti ya wito wa Mungu katika maisha yangu ni NDOA, na si vinginevyo. Nafurahi kukuarifu na kukuhakikishia kwamba, nimeitikia wito wa Mungu na wako wewe mama yangu kipenzi sana Joannah na kuutekeleza kadiri ya mpango wake Mungu:spandauB:
Naam,
Biblia inasema hivi kwenye ,
Mithali 18:22
Apatae mke apata kitu chema,nae ajipatia kibali Kwa BWANA

Mhubiri 4:9
Wawili ni afadhali kuliko Mmoja

Mwanzo 2:24
Mwanaume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe.

Umechagua fungu jema mwanangu,Una Baraka zote za mama....
 
na nitang"ang"ana nayo kabisa, ili nisikose Neema na Baraka hizi za kipekee kabisa kutoka kwa Mungu kuputia neno na ahadi zake na kwakweli kufurahia baraka kutoka kwako Mama yangu mpendwa sana Joannah :ClapHD:
 
A reminder that research samples requires N/(1+Ne)

Allowing 5% confidence interval, e, so you legitly concluded with 4 population out of 30milions couples.
Wild!!! 💀💀💀💀💀
 
Back
Top Bottom