Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

kuna wanawake ni washenzi sana, kaburi bado bichi mme wake hajaoza tayari mke anapelekewa moto bila aibu. Walau asubiri mwaka mmoja ndo aanze kupekechwa, manina zao wanaudhi sana
Yani wabongo mna wivu hadi mkiwa kaburini haya na mwanaume akifiwa na mkewe anatakiwa akae miaka mingapi, mtu umeshakufa ya duniani yanakuhusu nini ukishakufa hakuna ndoa tena, huyo mwenza uliyemuacha anahesabika yuko single ndio maana ya kiapo mpaka kifo kiwatenganishe
 
walio na akili timamu na wasio na mapepo hao hapo wanakata moto na ngoma
Mauti zipo kuna wanaokufa kwa Ngoma, ajali za vyombo vya moto na magonjwa mengine. Uwepo wa UKIMWI haujustify mwanaume kusimama mbele za watu na kujisifu kupiga punyeto. Mbona wengine hatupigi punyeto na hatuna UKIMWI. Unajidharirisha hata kama hatujuani ila ni kweli una mtindio wa akili, huna pesa, huna nguvu za kiume na possibly una kibamia so psychological haupo sawa na kiroho una mapepo. Hakuna mwanadamu timamu anajisifia kupiga punyeto. Kama unaona kupiga punueto ni kiti kizuri na cha kujisifia, kama una baba na mama yako waeleze leo kuwa wewe unapiga punyeto na hutaoa uone watakavyo react.

Inatakiwa usaidiwe dogo. 😀😃😄😁😆
 
Tatizo la Gardner nikupenda sana kitonga!

Mama Caren alikua na biashara zake nzuri tu za maduka ya nguo Mwanza,lakini baada ya yule Mother kushuka,Jamaa akampiga chini, akaenda kwa Jay Dee,na ndiyo huko kakutana na stress za maisha hadi akawa mlevi wakupindukia!
Nina kaka yangu, ni rafiki yake sana na Gardiner tumekaa sana na jamaa (G) Garder pale Tripple Seven Dsm,jamaa kwenye bills hakuwa na ushirikiano sana!
Kabla ya kuwa na Jide alikuwa na mama mmoja alikua na Duka linaitwq Tanrose pale Shoppers , ndio akingia clouds na kuwa na Jide
 
Back
Top Bottom