Rafiki wa kuchat anatafutwa

Enzi zetu kutongoza tu mwanamke ilikuaga shughuli pevu kabla ya kumpata, ila skuhizi maisha yamebadikika kwa kasi na technology imerahisisha kilakitu..😊

Hehehe...

Mzee itakuwa ulikuwa unatuma sana barua za mapenzi kwa wachuchu au zile za kumtuma mdogo mtu akuitie mchuchu...
 
Umeshwapelekea wangapi hyo mboo Yako akili Yako imejaa uzizi tu hongeraa ndugu na hyo mboo ungekuwa inaufutio ingekuwa imeeshaaa kazanaa bro
 
Ukishavurugwa na mabwana zako unakimbilia JF for comfort sio...
Onyesha ukomavu, kaa nao chini myajenge. Hakuna watu watapoteza time yao kuchat/relax nawewe bila kua na "interest" binafsi.
 
One-sided friendship...hapo anayeumia ni mwanauma. infact mwanamke atakutumia kwa ajili ya kumpa emotional na financial support.

Kataa uzobaaaa!! Urafiki wowote kati ya mwanamke na mwanamume usiokuwa wa kimapenzi ama kibiashara basi huwa ni urafiki wa kinyonyaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom