We utakuwa unamtafuta shetani sasaNiko Dar, umri wangu 28 years old. Natafuta rafiki wa kike asiyeamini Mungu (pure atheist).
Kweli huyu anamtafuta shetani amsubirie anakuja .We utakuwa unamtafuta shetani sasa
Mnataka mjenge couple ya wachawiNiko Dar, umri wangu 28 years old. Natafuta rafiki wa kike asiyeamini Mungu (pure atheist).
Shetani anamwamini Mungu na kumkiri ukuu wake tena kwa kutetemeka..!We utakuwa unamtafuta shetani sasa
Ukipata nishtue na mimi natafuta wa namna hii, kwasababu huwa wapo real sio wanafiki kama wanunua mafuta ya kwa mwamposa.Niko Dar, umri wangu 28 years old. Natafuta rafiki wa kike asiyeamini Mungu, na Shetani pia (pure atheist). Nicheki DM.
Tayari anaye antafuta mtu wa kuenzi naye mashetani/shetaniWe utakuwa unamtafuta shetani sasa
Sasa huyu anamtaka nani mkuu?🤣🤣🤣🤣Shetani anamwamini Mungu na kumkiri ukuu wake tena kwa kutetemeka..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sawa kabisaaTayari anaye antafuta mtu wa kuenzi naye mashetani/shetani
Kwamba atheists ndio wana akili pekee? hawa wa bongo hamna kitu hata ugunduzi hawajawahi kufanya ,yaani kujua kingereza kidogo wanajikuta wameelimika eti hakuna Mungu.Watu wenye akili finyu bwana; Atheist haamini supernatural aina yoyote sio Mungu wenu au Miungu au Malaika au Shetani Sasa cjui mnavokazana na uyo shetani mnamtoa wap🥲🥲🥲 mwenye akili ameelewa nyie wenye akili za mavi na Miungu yenu ambayo haiwasaidii chochote ndo fyokofyoko never ending.
Nenda kinondoni au sinza usikuAsiye mwamini na Shetani pia
DuhNiko Dar, umri wangu 28 years old. Natafuta rafiki wa kike asiyeamini Mungu, na Shetani pia (pure atheist). Nicheki DM.
Washamba karibia wote.Hii ni kweli
Hata humu jukwaani tunawaona 🤣