Mimi ni kijana.. mchangamfu na mcheshi.
Umri wangu miaka 26
Mshahara wangu kwa mwezi ni laki 4.
Natafuta rafiki wa kike,
Comment vizuri nikufate PM
Vidume wajuzi mtanisaidia nipate rafik mchangamfu.
Weekend ya leo Nipo kinyonge sana.
Niko Arusha
Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama, asiwe mfia dini za wazungu
Mimi ni mweupe maji ya kunde, umri wangu miaka 35, sijaoa wala sina mtoto
Rafiki ninayemtaka
Awe mweusi
Awe mrefu
Asiyejichumbua
Asizidi miaka 28
Asiwe na mtoto
Mawasiliano yangu: brightcreeper87@gmail.com
Natafuta rafiki wakike awe mstaharabu na mpole pia sichagui dini wala Umri kwa upande wangu Umri wangu ni miaka 27 kama uko tayari nifuate pm tuongee zaidi
Mimi ni kijana umri 36, nina elimu ya college, sijawahi kuoa na sina mtoto, napatikana Dar.
Natafuta rafiki wa kike umri 30-34, awe na elimu angalau form 4, asiwe amewahi kuolewa, kama ana mtoto asizidi 1, nahitaji mtu mwenye malengo na mawazo ya kimaendeleo.
Nahitaji mtu ambae kama...
Assalamu alaykum Wana jamiiforums
Bila kupoteza muda, baada ya kupitia mengi katika maisha ya uhusiano sasa naona ni muda muafaka kwangu kurudi katika maisha ya kutafuta mke.
Sifa.
1. Asiwe katika mahusiano
2. Dini: Awe muislamu, mchamungu, mwenye kuvaa hijab ya kisheria na mfanya ibada.
3...
Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, ni kijana mwenye miaka 30 kwa sasa, pia ni mkristo. Mjasiriamali pia. Natafuta mchumba baadaye awe mke.
Umri wake ni miaka 27 mpaka 30. Dini yeyote pia sichagui, elimu kuanzia kidato cha nne, atokee sehemu yeyote Tanzania hii, ila mkazi wa Dar es Salaam atapewa...
Mimi ni mwnanaume umri miaka 35, sina mtoto na sijawahi kuoa, kabila mchaga, dini mkristo, sina ajira kwa sasa ila nafanya vibarua.
Natafuta rafiki wa kike ambaye tukielewana tuje kuwa mke na mume. Awe na umri 28-33, asiwe na mtoto zaidi ya mmoja, awe mkristo, awe anajishughulisha, awe na...
Habari,
Nahitaji rafiki wa kike mwenye sifa zifuatazo;
Muislam
Apatikane mkoa wa mtwara, wilaya masasi, nanyumbu au mtwara mjini
Awe mfupi wakati(150-170cm)
Akiwa mmakonde itapendeza zaidi
Pesa isiwe kipaumbele kwake
Mpole kidogo
18-25yrs
Asiwe na mtoto
Muwazi
Hajawahi kuolewa
Muelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.