Rafiki wa kuchat anatafutwa

Ila huu umri wa kuanzia miaka 30 ni kama una pepo hivi... kwasisi ambao tumeupita yaani kuna saa unakuwa unaogopa kwamba uzee unakuja..

Mimi binafsi hata mvi zishaota kwenye kidevu, inanipa simanzi sana, sema kwakuwa nina familia at least naona afadhali
 
Habari zenu,naitwa epi Niko dar umri miaka 30 natafuta marafiki wa kuchat nao na kurelax akili yangu.angalizo naitaji marafiki tafadhali na cyo wapenzii tuwasiliane kupitia namba 0746464271 Asante
Kuna mtu anatafutwa soon kitawaka!
 
Umri wa miaka 30, unatafuta watu wa kuchati nao?

Wewe unatafuta mpenzi, sema hutaki kuwa direct kuogopa mabazazi.
 
Haha mimi naweza binafsi. Kuna ma she washkaji zangu wala siwatamani kabisa. Tunachat kama wana.
Mimi inawezekana ikiwa kuna KaConnectio before mfano labda nlikuwa mnaishi mtaa mmoja au classmate ,mfanyakazi mwenzangu nk na sio wa ghafla tu.
 
Umri wa miaka 30 unabidi kuwa unamtafuta Sana Mungu ndo utaweza Kupata mchumba

Dunia imebadilika bila kutumia Nguvu za kiroho hauwezi Kupata hitaji la moyo wako kirahisi don't believe that things happens accidentally.

You need to settle down and pull off ur shit stuffs. And pray more to GOD
Amen kaka ila siitaji mchumba ndugu nashukuru kwa ushauri piaa
 
Hivi urafiki wa kuchart tu Kati ya Mwanaume na Mwanamke bila majambo mengine kuingia Kati inawezekana ?
Mimi mwenyewe hapo najiuliza kwamba Mnakua mnachat Nini hasa muda wote ......? 🤣🤣🤣🙌
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom