May 31, 2022
20
19
Polish_20220602_191737768.jpg

Cage za kuku wa mayai.
Layers Cage.

¹kutokana na mfumo wa cage zetu ulivyo boreshwa kuku watakuwa salama saana na kuepuka magonjwa kwa asilimia zaidi ya 85%.

²Usalama wa mayai ni 100% mfumo uliowekwa ni wa kisasa na kumfanya kuku asiyakalibie mayai.

³utafuga kuku wengi saana katika eneo dogo wastani wa kuku 96-128 kwenye mita 2²

⁴Ni rahisi saana kuhudumia kuku wako maji ni automatic drinker na automatic feeder, kufanya usafi ni rahisi saana.

⁵imetengenezwa kwa material imara yasioshika kutu hivyo huishi miaka mingi zaidi ya 50

Zinapatikana kwa bei rahisi saana ya kuku 96 ni 700,000
Na ya kuku 128 bei ni 900,000.

Pia za broiler zinapatikana kwa bei ya 600,000 na za vifaranga pia ni 600,000.

Tupo dar goba njia nne na morogoro kola.

+255676 176742
 
unapaswa kufuga kibiashara na kuongeza thamani ya ufugaji wako kwa kutumia mbinu rahisi na kisasa ili kuendana na mabadiliko ya kidunia.

Incubator ni technology iliyozoeleka ila modern incubator ni technology mpya ya incubator za kisasa zilizo boreshwa na kumrahisishia mfugaji katika uzalishaji.

Mf. Ukiwa na incubator ya mayai 120 ni sawa na tray 4 ,ukinunua mayai kwa 12000 ni sawa na 48000 mtaji wa mayai na umeme wa 8000 jumla 56,000 vifaranga wakitoka 110 kila mmoja ukiuza 1500 ni sawa na 165,000 unabaki na faida 109,000 kila baada ya siku 21.

Incubator bora inapatikana kwa bei 650,000 changamkia fursa sasa usitegemee ajira tu.

Karibu mwalimu enterprises tutakusimamia kwa kila hatua
Na mayai tutakupatia.

0676176742

Tupo dar goba njia nne na morogoro kola.
88DF75E1-F28B-4A7A-BCBA-CA9AC0452189_1_105_c.jpeg
 
Vifaranga bora wa bovans brown wenye afya na ubora wa juu unawapata mwalimu interprises bila kuweka oda unalipia na kuchukua chap chap.

Kila mtu anataman kufanikiwa kwenye ufugaji ila sisi tunatamani ufanikiwe kwenye ufugaji oda ni chap chap

Hakuna kusubiri popote ulipo watafika bei ya ofa ni 2100

Tupo goba njia nne 0676176742.

Tutakusimamia kuanzia siku ya kwanza hadi kuingia sokoni.

20220607_092851.jpg
 
Ni muda sasa wa kufunguka na kuanza kufuga kisasa na sio kimazoea.

Ufugaji ni ajira iliyo jikamilisha na sio ziada hivyo inaweza muinua mtu yoyote kutokana ni ajira ambayo iko wazi haichagui umri wala jinsia.

Ufugaji ni moja ya vyanzo vikubwa sana vya kipato duniani hasa Ufugaji wa kibiashara.

Unawezaje kufanikiwa katika Ufugaji na kuepuka changamoto mbali mbali za Ufugaji wa kuku kama magonjwa ,gharama za chakula na dawa pia upatikanaji wa masoko kutokana na sehem ulipo.

Njia rafiki ya kupambana na magojwa ya kuku ni kuwa na mazingira rafiki kwa kuku kichanjo , usafi na miundombinu.

Zingatia ujenzi wa mabanda bora ya kuku.

Zingatia usafi bandani na mazingira yaliyo zunguka banda.

Zingatia chanjo na tiba kwa wakati kabla ya tatizo au tatizo kukomaa.

Epuka magonjwa kwa kutumia njia bora za ufugaji na uzalishaji kama
1. Cage za kufugia kuku wa mayai ,nyama na vifaranga.
2.mashine za kutotolesha mayai zenye ubora grade one.
3.drinker system bora na feeder za kisasa
N.k

Kwa ushauri na upatikanaji wa vifaa wasiliana nasi +255676 176742

Picsart_22-06-08_05-48-41-849.jpg
 
Mwalimu Enterprises

Huduma saizi yako, unapata unacho kihitaji.

Pata machine za incubator uweze kupandisha na kuongeza thamani ya ufugaji wako.

Ni rahisi saana kuendesha mradi wako wa kutotolesha na kupata mafanikio makubwa kwenye ufugaji.

Utatupunguza gharama za upatikanaji wa vifaranga mfano broiler utamzalisha kwa 1000 ukitofautisha na bei ya soko 2300.

Amka sasa uweze kupata faida kubwa katika ufugaji wako.

Zinatotolesha mayai ya kuku (broiler, layers ,chotara na kienyeji) pia mayai ya kanga ,bata ,kware ,njiwa na ndege wengine.

Zinatumia umeme mchache kutokana na ubunifu uliotumika kutengeneza incubator hizi pia zinatunza joto masaa 8 hadi 12 endapo umeme ukikata.

Asilimia za uanguaji ni 98+ utapata vifaranga bora.

Pia utapata mayai ya broiler, layers na chotara kwa bei nafuu.

Karibu, tunapatikana dar es Salaam goba na morogoro kola.
Mikoani tunatuma.

0676176742

Image%2016-06-2022%20at%2007.26.jpg
 
Mwalimu Enterprises

Huduma saizi yako, unapata unacho kihitaji.

Pata machine za incubator uweze kupandisha na kuongeza thamani ya ufugaji wako.

Ni rahisi saana kuendesha mradi wako wa kutotolesha na kupata mafanikio makubwa kwenye ufugaji.

Utatupunguza gharama za upatikanaji wa vifaranga mfano broiler utamzalisha kwa 1000 ukitofautisha na bei ya soko 2300.

Amka sasa uweze kupata faida kubwa katika ufugaji wako.

Zinatotolesha mayai ya kuku (broiler, layers ,chotara na kienyeji) pia mayai ya kanga ,bata ,kware ,njiwa na ndege wengine.

Zinatumia umeme mchache kutokana na ubunifu uliotumika kutengeneza incubator hizi pia zinatunza joto masaa 8 hadi 12 endapo umeme ukikata.

Asilimia za uanguaji ni 98+ utapata vifaranga bora.

Pia utapata mayai ya broiler, layers na chotara kwa bei nafuu.

Karibu, tunapatikana dar es Salaam goba na morogoro kola.
Mikoani tunatuma.

0676176742

View attachment 2262446
Weka na mchanganuo wa bei hapa sio mpaka uulizwe mkuu.
 
VIFARANGA BORA WA BROILER NA LAYERS

kunafaida kubwa saana ya kuwa mchunguzi na mdadisi mkubwa kihusu bidhaa unayo ihitaji.

Leo nitaongelea hasa kwenye ufugaji wa kuku wa nyama na mayai.

KUKU WA NYAMA
Uchaguzi wa mbegu bora ni jambo muhimu tena kwa kuzingatia vigezo takikana kama ukuaji na uzito kwa wakati.

Richa ya watu kuona kuku katanuka ila wanatamani zaidi kuona wanauzito wa kutosha kuanzia 1.3kg hadi 1.8kg.

Tamaa ya wa wafugaji wengi ni kupata kuku haraka ambapo inapelekea lengo la kupata kuku bora kusahaulika.
Na kujikuta wakiingia kwenye changamoto za ukuaji na changamoto zingine za ufugaji.

KUKU WA MAYAI LAYERS

Katika ufugaji wa kuku wa mayai uchaguzi wa mbegu ni jambo kubwa zaidi maana ukikosea itakugharimu muda mrefu saana kurudi kwenye ramani.

Kuku aliyebora kwa sasa ni Bovans brown ni kuku mwenye uwezo wa kutaga mayai 289 mpaka 320 kwa mwaka nakutaga miaka 2 mfululizo kabla ya kupunguza kutaga.
Anamaumbile makubwa , pia anataga mayai makubwa, anahimiri magonjwa na anatabia zanazobadilika kutokana na mazingira na hali ya hewa.

Karibu MWALIMU ENTERPRISES kwa elimu ya ufugaji na ujipatie mbegu bora ya kuku.
BROILER 2300
LAYERS 2400
CHOTARA 1500

Tupo dar goba njia nne na morogoro kola.

+255 (0) 676 176742

Image%2019-06-2022%20at%2014.05.jpg
 
happy chotara ni kroiler na je ni wa muda gani na je wanna chanjo zote stahiki ?
 
OFA OFA OFA YA KIBABE.

Sasa kukosa umeme sio sababu ya kushindwa kumiliki mashine ya vifaranga (Incubator)

Tumekuletea mashine za kisasa zaidi ambazo ni full automatic pia zina tumia solar hata pia betri la gari.

Bila kusahau zinageuza mayai zenyewe (automatic eggs turn)pia huitaji kuzungukia mara kwa mara maana inaji control automatic wewe ni weka mayai mwendo unasubiri siku 21. Hii utaipata kwa OFA ya 350,000

Zipo Incubator kuanzia 16,24,56,112,120,352,528,1056,2112 hadi elfu 15000

Unasubiri nini sasa piga simu hii 0676176742 kwa maelezo zaidi, na kujua namna ya kuipata popote ulipo nchini.

Tupo dar goba na morogoro kola.

Image%2022-06-2022%20at%2023.55.jpg
 
Back
Top Bottom