Ninahisi kupata ugonjwa wa sonona, nahitaji rafiki wa kike

Mbona nimesema ninachokihitaji lakini watu mmekwenda extra miles away
 
Tafuta bar yenye watoto wazuri agiza kinywaji, agiza nyama choma mwagilia moyo huku ukimchagua anayekuangalia sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu,
Umempa very easy option ashindwe mwenyewe...

Umenikumbusha,
Kocha wangu mmoja raia wa congo kipindi kile nasakata kabumbu... Kwenye mechi refa akawa ana support team pinzani..

Kocha wa kikongo na kiswahili chake kibovu akasema vijana chezeni mpira """BATAOKOTA BENYEWEEEE KUNYAVU""

☺️☺️😊😊
 
Tatizo la sonona haliwezi kwisha kwa kupata mwanamke, tafuta chañzo cha tatizo, litatue then tafuta kimwana wa kukupa raha.
Huyu jamaa nionavyo chanzo cha tatizo lake ni udomo zege. Ingempasa afungiwe kwanza chumbani na demu mjanja mjanja alafu tuone mwisho wake kama ataongea au atamwacha manzi aondoke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom