Ngoja mumama mwenye harier akuje
Unataka rafiki wa kike ili umfanyeje?kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu natafuta rafiki wa kike ila sina maisha kabisa naishi Arusha Elimu ni ya uhasibu but it didn't work
kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu natafuta rafiki wa kike ila sina maisha kabisa naishi Arusha Elimu ni ya uhasibu but it didn't work
awe mchumba wanguUnataka rafiki wa kike ili umfanyeje?
Au cioMimi nipo ila harier Sina😆😆
Sa itakuje?Au cio
Nihao😆Komasava
We jau 😂😂Sa itakuje?
Hakika ,ngoja wenye nazo wakuje jamaa apate chake🤗We jau 😂😂
Ulipotelea wapiHakika ,ngoja wenye nazo wakuje jamaa apate chake🤗
Nalea😆Ulipotelea wapi
Weeeeeh weeeeh ankoli ajamba lakini au unalea mtu mzima mtoto😂😂😂😂😂Nalea😆