Ninahisi kupata ugonjwa wa sonona, nahitaji rafiki wa kike

Kijana unaishi kama mzee lazima akili iwe wazi kufurahi kama mimi nimekuwa furaha ya ghafla moyoni baada ya Arsenal kumfunga liverpunga na jana simba kushinda....Shabikia hata mpira tena nenda vibanda umiza...

Jichanganye na watu inatoa mawazo mabaya zunguka hata weekend ..
Duh mi ni Liverpool haya bana
 
Nahitaji rafiki wa kike angalau wa kuchati nae au calls niondokane na hii hali!
Why you are so powerful?

Its because people realized I dont depend on anyone to live

Mzee,hii hali ni real power,na I wish niikute one day in my life time before I die.

Yaani nipo independent and so free kiasi kwamba my life,happyness na kila kitu I dont depend on any human being

Thats true power I aspire to have,one day!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom