SoC02 Nimesoma shule za kawaida nikiwa sisikii vizuri. Changamoto zilizopo ni uhaba na ukosefu wa mafunzo ya lugha za alama

Stories of Change - 2022 Competition

SweetMillah

New Member
Aug 7, 2022
4
11
Ulemavu ni Hali ya upungufu wa kazi katika kiungo kimoja wapo katika mwili wa mwanadam au mnyama kiungo hicho chaweza kuwa mkono, mguu macho nk kupelekea uhitaji wa vifaa maalumu ili kujishirikisha katika shughuli za kijamii na kiuchumi.

Binafsi nimezaliwa nikiwa na uwezo wa kusikia na nilipokuwa shule ya msingi nilikuwa nikifanya vyema nikafanikiwa kujiunga kidato Cha kwanza,maendeleo yangu yalikuwa mazuri tu Hadi kidato Cha pili ambapo ghafla nilianza kujihisi sisikii vizuri nilipoitwa sikusikia vizuri mda mwingine nilitukanwa au kupigwa na walimu kwasabab nilishindwa kujieleza kuwa sisikii vizuri , pengine kwasabab ya woga na aibu watanchukuliaje nikisema sisikii vizuri ilihali nilikuwa mzima?

Kwakua ilikua shule ya kutwa nyumbani Nako walianza kinigundua walipoita mara mbili mara tatu pasina wasikia, mda mwingine walinituma hiki Mimi naleta kingine. Mara nyingi nilikuwa naumia pale waliposema hivi wewe husikii? Niliogopa kuwajibu mda mwingi nilibaki kimya nikijitafajari, nilianza kuyasahau masomo nikaanza kuacha kwenda shule kwasabab nilijiona tifauti na wenzangu nilitamani kupelekwa shule za viziwi tuu lakini baba yangu alilikataa hilo. Hatimaye nilipelekwa hospital za kata na za ma specialist mfano Bugando, Hindu, Regency, Ekenywa nk lakini majibu yalisikitisha mara nyingi walikuta masikio ni mazima na hayana tatizo isipokuwa mishipa ya fahamu ndiyo shida

Nilipewa dawa aina ya Neurton ya kumeza Hadi tatizo litapokoma na kifaa maalumu kwa ajili ya kusikia lakini havikuweza saidia. Hatimaye nilirudi shule nikiwa na furaha lakini kifaa hakikunisaidia chochote bado nilishindwa kutafsiri maneno sikuona umuhimu niliacha kukivaa hatimaye nilijisomea mwenyewe, nilijifundisha pia kupitia kusoma huku nikisaidiwa na walimu kwa ukaribu hadi kidato cha nne, kilichoniumiza ni wanafunzi kutofahamu lugha za alama,

Binafsi nilikuwa sizijui na ningezijuaje ilihali shule nilizotoka hakuna mafunzo hayo?

• Wanafunzi walionizunguka hawakuwa na ujuzi wa lugha za alama hivyo ilinikwamishia mawasiliano shuleni na nilianza kuwa mkimya Hali iliyoniumiza mda mwingi sana.

• Shule maalumu kwa viziwi zilikuwa mbali na maeneo nilipo kutokana na mfuko wa mzazi ikawa ni vigumu.

Niliendelea na masomo sikukata tamaa nilijitahidi Sana hata kuwazidi wenzangu kwani nilikuwa miongoni mwa tatu Bora na hatimaye tano Bora nilijitahidi kusoma na kumuonba Mungu nisishuke hapo na kweli sikushuka hapo. Japo maneno yalikuwa mengi shuleni wengine walithubutu kusema siwezi zidiwa na mtu asiyesikia lakini haikuniumiza kwasababu niliijenga akili yang kuwa inaaweza na mara nyingi sikuwalaumu " Bali nili ilaumu serikali kwa kutotoa Elimu juu ya walemavu kwa wanafunzi wasio na ulemavu ili na wao waelewe kuwa mlemavu anaweza Kama mtu ambaye asiye na ulemavu na kwa kutowafunza upendo mashuleni juu ya walemavu ilinipelekea kutamani uwepo wa somo la ulemavu Kama ilivyo Katika kupambana na rushwa"

Nilifaulu kidato cha nne kwa div 2.18 (HGL) sikuyafurahia matokeo kwasababu nilitaka sayansi ili nije kuwa Daktari wa masikio siku moja japo haikuwa hivyo nilikubali matokeo na nilimshukuru Mungu. Hatimaye nilijiunga kidato cha tano changamoto zilikuwa ni zilezile lakini nilipambana nazo, kutokana na uzoefu wangu nilipokuwa wazazi kunitia moyo nilipokuwa high school sikuwa na wazaz bali mimi kama mimi. Kejeli kwa wanafunzi (bullying) zilikuwa nyingi muda mwingine nilirudi nyumbani kwa kisingizio cha kuumwa japo nipate wa kunitia moyo ili nikaiendeleze safari yangu ya elimu.

Nilipokuwa shuleni sukutaka kukaa tu muda wenzangu waliokuwa wakipiga story kwakuwa muda mwingine sikuweza kujumuika nao hiyo ilitokana na kuona sisikii naenda kufanya nini muda mwingine hata nilipowasikia kwa shida na kuchangia mada hakuna aliyenijali. Hivyo nilichukua daftari na kutumia muda huo kuandika hadithi wengi walivutiwa na mwandiko wangu walianza kuisoma hadithi iliyomhusu (Binti yatima aliyekatishwa masomo kisa mapenzi na hatma yake). Muda mwingine waligombania daftari kwani mara nyingi wahusika nilitumia majina yao wenyewe walizidi kutamani na walianza kujifunza sikuona anayeninyanyapaa tena muda mwingine walijikusanya nikaanza kuwafundisha lugha za alama na taratibu walianza kuelewa ikanirahisishia mawasiliano nao.

Nilijiona mwenye nguvu na mtu mpya hii ilinijengea ujasiri na hatimaye nilianza kuwa mchangamfu na si mkimya Tena. Walimu walifurahishwa na Mimi na walisoma hadithi nilizoandika walinambia nilikuwa wapi siku zote walitaka kuniunga na FEMA lakini muda ulikuwa wa mwisho kumaliza kidato Cha SITA na hatimaye nilimaliza hivi leo niko chuo mwaka wa pili

Ninapokua field napata vikwazo na kukosa hamasa kwani wafanyakazi wengi hawana ufahamu wa lugha ya alama kwa viziwi na vipofu hivyo hunikwamishia mawasiliano na motisha ya kujifunza.

Naishauri serikali kutoa Elimu ya lugha za alama kwa shule zote za wenye ulemavu na wasio na ulemavu hii itarahisha mawasiliano, kwani hata mlemavu aendapo dukani atakuwa na uhakika wa maelewano kwani ni elimu hutolewa yangu daraja la chini Kama ilivyo kusoma na kuandika.
 
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30 nina tatizo kama lako pia yaani maelezo yako yote ni kama unaniongelea mimi, mara ya mwisho kwenda hospitali waliniambia ngoma ya masikio ipo poa tatizo ni mishipa, shule ya msingi nilimaliza nikiwa sawa kabisa nikafaulu kwa daraja la juu na kupangiwa kwenda Azania secondary ilipofika around form 3 hivi ndo nikaanza kuona utofauti kwenye suala la kusikia napata shida kumsikia mtu akiongea kwa sauti ya chini.

Mtu mwenye kigugumizi, mtu akiongea akiwa mbali na kuongea na mtu kwa simu ndo simwelewi kabisa, kwa kweli shule ilikua chungu nikaanza utoro hata kujumuika na wanafunzi wenzangu ilikua shida darasani nikashuka sana form 4 sikufanya vzr nikasoma certificate, diploma na bachelor degree.

Ila kutoka moyoni kabisa najilaumu sana kupoteza huo muda kusoma chuo ningeweza kurudisha muda nyuma ningesoma masomo ambayo yanaendana na hali yangu kama uhandishi wa vitabu maana nipo passionate sana na kuandika au ubunifu wa mavazi maana watu wananisifia sana najua kuchagua nguo nzuri kuna wengine huwa wananipa hela nikawanunulie au niwasindikize dukani kuwasaidia kuchagua.

Ila nikasoma masomo ya biashara kitu ambacho ni vigumu kupata ajira au kujiajiri maana mambo ya selling, marketing, uhasibu, customer care n.k yanahitaji kuonana na watu kuwasiliana nao n.k na hata kwenye kutafuta kazi nakutana na ugumu sana napigiwa simu za kuitwa kwenye interview kuongea na simu siwezi na hata nikitumiwa text nikifika kwenye interview naulizwa maswali sisikii vizuri ni ni kama miaka 6 ya kusoma chuo nimepoteza muda na kuingia gharama tu, kwa sasa bado nipo mtaani sina mbele wala nyuma.

Ushauri wangu usikate tamaa, jikubali, pale unapokutana na mtu ambae haujuani nae jieleze kwamba una changamoto ya kusikia usione noma, chagua marafiki wachache ambao wanaelewa hali yako na pia jishughulishe na mambo ambayo yanaendana na changamoto inayokukabili yaani hauonani sana na watu na kufanya mazungumzo nao mfano uhandishi n.k.

Maisha yangu kwa kweli ni ya upweke kidogo sio mtu wa kuchangamana na watu labda kampani yangu pekee ni kwenye vibanda umiza nikienda kuangalia mpira, hakuna kipindi chochote cha kwenye tv ninachokifatilia maana sisikii vizuri wanachoongea, nikiangalia tv ni movie zenye english subtitle tu, kuwasiliana na watu kwenye simu ni kwa sms tu ila marafiki wachache, ndugu zangu pamoja na mpenzi wanaelewa hali yangu.. dharau, dhiaka, kupuuzwa, kuonekana mtu mwenye malingo kwa kutoitikia salamu au nikiongeleshwa ni changamoto ambazo nakutana nazo sana lwa ambao hawanijui na baadhi wananijua ila wanataka kunifanyia bullying tu mbele za watu.. usikate tamaa ndugu yangu kikubwa wote tupo hai
 
Ulemavu ni Hali ya upungufu wa kazi katika kiungo kimoja wapo katika mwili wa mwanadam au mnyama kiungo hicho chaweza kuwa mkono, mguu macho nk kupelekea uhitaji wa vifaa maalumu ili kujishirikisha katika shughuli za kijamii na kiuchumi.

Binafsi nimezaliwa nikiwa na uwezo wa kusikia na nilipokuwa shule ya msingi nilikuwa nikifanya vyema nikafanikiwa kujiunga kidato Cha kwanza,maendeleo yangu yalikuwa mazuri tu Hadi kidato Cha pili ambapo ghafla nilianza kujihisi sisikii vizuri nilipoitwa sikusikia vizuri mda mwingine nilitukanwa au kupigwa na walimu kwasabab nilishindwa kujieleza kuwa sisikii vizuri , pengine kwasabab ya woga na aibu watanchukuliaje nikisema sisikii vizuri ilihali nilikuwa mzima?

Kwakua ilikua shule ya kutwa nyumbani Nako walianza kinigundua walipoita mara mbili mara tatu pasina wasikia, mda mwingine walinituma hiki Mimi naleta kingine. Mara nyingi nilikuwa naumia pale waliposema hivi wewe husikii? Niliogopa kuwajibu mda mwingi nilibaki kimya nikijitafajari, nilianza kuyasahau masomo nikaanza kuacha kwenda shule kwasabab nilijiona tifauti na wenzangu nilitamani kupelekwa shule za viziwi tuu lakini baba yangu alilikataa hilo. Hatimaye nilipelekwa hospital za kata na za ma specialist mfano Bugando, Hindu, Regency, Ekenywa nk lakini majibu yalisikitisha mara nyingi walikuta masikio ni mazima na hayana tatizo isipokuwa mishipa ya fahamu ndiyo shida

Nilipewa dawa aina ya Neurton ya kumeza Hadi tatizo litapokoma na kifaa maalumu kwa ajili ya kusikia lakini havikuweza saidia. Hatimaye nilirudi shule nikiwa na furaha lakini kifaa hakikunisaidia chochote bado nilishindwa kutafsiri maneno sikuona umuhimu niliacha kukivaa hatimaye nilijisomea mwenyewe, nilijifundisha pia kupitia kusoma huku nikisaidiwa na walimu kwa ukaribu hadi kidato cha nne, kilichoniumiza ni wanafunzi kutofahamu lugha za alama,

Binafsi nilikuwa sizijui na ningezijuaje ilihali shule nilizotoka hakuna mafunzo hayo?

• Wanafunzi walionizunguka hawakuwa na ujuzi wa lugha za alama hivyo ilinikwamishia mawasiliano shuleni na nilianza kuwa mkimya Hali iliyoniumiza mda mwingi sana.

• Shule maalumu kwa viziwi zilikuwa mbali na maeneo nilipo kutokana na mfuko wa mzazi ikawa ni vigumu.

Niliendelea na masomo sikukata tamaa nilijitahidi Sana hata kuwazidi wenzangu kwani nilikuwa miongoni mwa tatu Bora na hatimaye tano Bora nilijitahidi kusoma na kumuonba Mungu nisishuke hapo na kweli sikushuka hapo. Japo maneno yalikuwa mengi shuleni wengine walithubutu kusema siwezi zidiwa na mtu asiyesikia lakini haikuniumiza kwasababu niliijenga akili yang kuwa inaaweza na mara nyingi sikuwalaumu " Bali nili ilaumu serikali kwa kutotoa Elimu juu ya walemavu kwa wanafunzi wasio na ulemavu ili na wao waelewe kuwa mlemavu anaweza Kama mtu ambaye asiye na ulemavu na kwa kutowafunza upendo mashuleni juu ya walemavu ilinipelekea kutamani uwepo wa somo la ulemavu Kama ilivyo Katika kupambana na rushwa"

Nilifaulu kidato cha nne kwa div 2.18 (HGL) sikuyafurahia matokeo kwasababu nilitaka sayansi ili nije kuwa Daktari wa masikio siku moja japo haikuwa hivyo nilikubali matokeo na nilimshukuru Mungu. Hatimaye nilijiunga kidato cha tano changamoto zilikuwa ni zilezile lakini nilipambana nazo, kutokana na uzoefu wangu nilipokuwa wazazi kunitia moyo nilipokuwa high school sikuwa na wazaz bali mimi kama mimi. Kejeli kwa wanafunzi (bullying) zilikuwa nyingi muda mwingine nilirudi nyumbani kwa kisingizio cha kuumwa japo nipate wa kunitia moyo ili nikaiendeleze safari yangu ya elimu.

Nilipokuwa shuleni sukutaka kukaa tu muda wenzangu waliokuwa wakipiga story kwakuwa muda mwingine sikuweza kujumuika nao hiyo ilitokana na kuona sisikii naenda kufanya nini muda mwingine hata nilipowasikia kwa shida na kuchangia mada hakuna aliyenijali. Hivyo nilichukua daftari na kutumia muda huo kuandika hadithi wengi walivutiwa na mwandiko wangu walianza kuisoma hadithi iliyomhusu (Binti yatima aliyekatishwa masomo kisa mapenzi na hatma yake). Muda mwingine waligombania daftari kwani mara nyingi wahusika nilitumia majina yao wenyewe walizidi kutamani na walianza kujifunza sikuona anayeninyanyapaa tena muda mwingine walijikusanya nikaanza kuwafundisha lugha za alama na taratibu walianza kuelewa ikanirahisishia mawasiliano nao.

Nilijiona mwenye nguvu na mtu mpya hii ilinijengea ujasiri na hatimaye nilianza kuwa mchangamfu na si mkimya Tena. Walimu walifurahishwa na Mimi na walisoma hadithi nilizoandika walinambia nilikuwa wapi siku zote walitaka kuniunga na FEMA lakini muda ulikuwa wa mwisho kumaliza kidato Cha SITA na hatimaye nilimaliza hivi leo niko chuo mwaka wa pili

Ninapokua field napata vikwazo na kukosa hamasa kwani wafanyakazi wengi hawana ufahamu wa lugha ya alama kwa viziwi na vipofu hivyo hunikwamishia mawasiliano na motisha ya kujifunza.

Naishauri serikali kutoa Elimu ya lugha za alama kwa shule zote za wenye ulemavu na wasio na ulemavu hii itarahisha mawasiliano, kwani hata mlemavu aendapo dukani atakuwa na uhakika wa maelewano kwani ni elimu hutolewa yangu daraja la chini Kama ilivyo kusoma na kuandika.
😢😢 mim Nina tatizo kama lako na sikuzaliwa nalo historia kama yako Nipo chuo mwaka 2 sina Amani na elimu kuna mda nakata tamaa kutokana na hili tatizo nakosa fursa mbalimbali kutokana na hili tatizo, kila siku namuomba Mungu lakini bado sijui mwisho wake ni lini ..... hili tatizo ni changamoto sana hasa kwa kipindi hiki cha uhaba nikikumbuka maisha ya shule tangu o level nataman kulia. Nashukuru Mungu bado naendelea kusonga mbele na elimu kwa kujisomea kivyangu bila kushiriki na wenzangu na bado nafaulu vizuri. Kikubwa kusonga mbele tu Mungu atabariki.
 
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30 nina tatizo kama lako pia yaani maelezo yako yote ni kama unaniongelea mimi, mara ya mwisho kwenda hospitali waliniambia ngoma ya masikio ipo poa tatizo ni mishipa, shule ya msingi nilimaliza nikiwa sawa kabisa nikafaulu kwa daraja la juu na kupangiwa kwenda Azania secondary ilipofika around form 3 hivi ndo nikaanza kuona utofauti kwenye suala la kusikia napata shida kumsikia mtu akiongea kwa sauti ya chini, mtu mwenye kigugumizi, mtu akiongea akiwa mbali na kuongea na mtu kwa simu ndo simwelewi kabisa, kwa kweli shule ilikua chungu nikaanza utoro hata kujumuika na wanafunzi wenzangu ilikua shida darasani nikashuka sana form 4 sikufanya vzr nikasoma certificate, diploma na bachelor degree.. ila kutoka moyoni kabisa najilaumu sana kupoteza huo muda kusoma chuo ningeweza kurudisha muda nyuma ningesoma masomo ambayo yanaendana na hali yangu kama uhandishi wa vitabu maana nipo passionate sana na kuandika au ubunifu wa mavazi maana watu wananisifia sana najua kuchagua nguo nzuri kuna wengine huwa wananipa hela nikawanunulie au niwasindikize dukani kuwasaidia kuchagua.. ila nikasoma masomo ya biashara kitu ambacho ni vigumu kupata ajira au kujiajiri maana mambo ya selling, marketing, uhasibu, customer care n.k yanahitaji kuonana na watu kuwasiliana nao n.k na hata kwenye kutafuta kazi nakutana na ugumu sana napigiwa simu za kuitwa kwenye interview kuongea na simu siwezi na hata nikitumiwa text nikifika kwenye interview naulizwa maswali sisikii vizuri ni ni kama miaka 6 ya kusoma chuo nimepoteza muda na kuingia gharama tu, kwa sasa bado nipo mtaani sina mbele wala nyuma.. ushauri wangu usikate tamaa, jikubali, pale unapokutana na mtu ambae haujuani nae jieleze kwamba una changamoto ya kusikia usione noma, chagua marafiki wachache ambao wanaelewa hali yako na pia jishughulishe na mambo ambayo yanaendana na changamoto inayokukabili yaani hauonani sana na watu na kufanya mazungumzo nao mfano uhandishi n.k.. maisha yangu kwa kweli ni ya upweke kidogo sio mtu wa kuchangamana na watu labda kampani yangu pekee ni kwenye vibanda umiza nikienda kuangalia mpira, hakuna kipindi chochote cha kwenye tv ninachokifatilia maana sisikii vizuri wanachoongea, nikiangalia tv ni movie zenye english subtitle tu, kuwasiliana na watu kwenye simu ni kwa sms tu ila marafiki wachache, ndugu zangu pamoja na mpenzi wanaelewa hali yangu.. dharau, dhiaka, kupuuzwa, kuonekana mtu mwenye malingo kwa kutoitikia salamu au nikiongeleshwa ni changamoto ambazo nakutana nazo sana lwa ambao hawanijui na baadhi wananijua ila wanataka kunifanyia bullying tu mbele za watu.. usikate tamaa ndugu yangu kikubwa wote tupo hai
Ni kweli kabisa yote hiyo hawajui lugha za alama kwa ajili ya mawasiliano Kama wangejuaningewarahisishia na kuwaongeze aupendo ni matamanio yangu itolewe Kama somo mashuleni kuanzia shule za msingi Kama ilivyo kusoma na kuandika na Kama ilivyo Katika kupambana na rushwa
 
😢😢 mim Nina tatizo kama lako na sikuzaliwa nalo historia kama yako Nipo chuo mwaka 2 sina Amani na elimu kuna mda nakata tamaa kutokana na hili tatizo nakosa fursa mbalimbali kutokana na hili tatizo, kila siku namuomba Mungu lakini bado sijui mwisho wake ni lini ..... hili tatizo ni changamoto sana hasa kwa kipindi hiki cha uhaba nikikumbuka maisha ya shule tangu o level nataman kulia. Nashukuru Mungu bado naendelea kusonga mbele na elimu kwa kujisomea kivyangu bila kushiriki na wenzangu na bado nafaulu vizuri. Kikubwa kusonga mbele tu Mungu atabar
Pole Mwenyezimungu atafanya wepesi lakini tusisitize umuhimu wa lugha ya alama kwa jamii itarahisisha mawasiliano
 
Ulemavu ni Hali ya upungufu wa kazi katika kiungo kimoja wapo katika mwili wa mwanadam au mnyama kiungo hicho chaweza kuwa mkono, mguu macho nk kupelekea uhitaji wa vifaa maalumu ili kujishirikisha katika shughuli za kijamii na kiuchumi.

Binafsi nimezaliwa nikiwa na uwezo wa kusikia na nilipokuwa shule ya msingi nilikuwa nikifanya vyema nikafanikiwa kujiunga kidato Cha kwanza,maendeleo yangu yalikuwa mazuri tu Hadi kidato Cha pili ambapo ghafla nilianza kujihisi sisikii vizuri nilipoitwa sikusikia vizuri mda mwingine nilitukanwa au kupigwa na walimu kwasabab nilishindwa kujieleza kuwa sisikii vizuri , pengine kwasabab ya woga na aibu watanchukuliaje nikisema sisikii vizuri ilihali nilikuwa mzima?

Kwakua ilikua shule ya kutwa nyumbani Nako walianza kinigundua walipoita mara mbili mara tatu pasina wasikia, mda mwingine walinituma hiki Mimi naleta kingine. Mara nyingi nilikuwa naumia pale waliposema hivi wewe husikii? Niliogopa kuwajibu mda mwingi nilibaki kimya nikijitafajari, nilianza kuyasahau masomo nikaanza kuacha kwenda shule kwasabab nilijiona tifauti na wenzangu nilitamani kupelekwa shule za viziwi tuu lakini baba yangu alilikataa hilo. Hatimaye nilipelekwa hospital za kata na za ma specialist mfano Bugando, Hindu, Regency, Ekenywa nk lakini majibu yalisikitisha mara nyingi walikuta masikio ni mazima na hayana tatizo isipokuwa mishipa ya fahamu ndiyo shida

Nilipewa dawa aina ya Neurton ya kumeza Hadi tatizo litapokoma na kifaa maalumu kwa ajili ya kusikia lakini havikuweza saidia. Hatimaye nilirudi shule nikiwa na furaha lakini kifaa hakikunisaidia chochote bado nilishindwa kutafsiri maneno sikuona umuhimu niliacha kukivaa hatimaye nilijisomea mwenyewe, nilijifundisha pia kupitia kusoma huku nikisaidiwa na walimu kwa ukaribu hadi kidato cha nne, kilichoniumiza ni wanafunzi kutofahamu lugha za alama,

Binafsi nilikuwa sizijui na ningezijuaje ilihali shule nilizotoka hakuna mafunzo hayo?

• Wanafunzi walionizunguka hawakuwa na ujuzi wa lugha za alama hivyo ilinikwamishia mawasiliano shuleni na nilianza kuwa mkimya Hali iliyoniumiza mda mwingi sana.

• Shule maalumu kwa viziwi zilikuwa mbali na maeneo nilipo kutokana na mfuko wa mzazi ikawa ni vigumu.

Niliendelea na masomo sikukata tamaa nilijitahidi Sana hata kuwazidi wenzangu kwani nilikuwa miongoni mwa tatu Bora na hatimaye tano Bora nilijitahidi kusoma na kumuonba Mungu nisishuke hapo na kweli sikushuka hapo. Japo maneno yalikuwa mengi shuleni wengine walithubutu kusema siwezi zidiwa na mtu asiyesikia lakini haikuniumiza kwasababu niliijenga akili yang kuwa inaaweza na mara nyingi sikuwalaumu " Bali nili ilaumu serikali kwa kutotoa Elimu juu ya walemavu kwa wanafunzi wasio na ulemavu ili na wao waelewe kuwa mlemavu anaweza Kama mtu ambaye asiye na ulemavu na kwa kutowafunza upendo mashuleni juu ya walemavu ilinipelekea kutamani uwepo wa somo la ulemavu Kama ilivyo Katika kupambana na rushwa"

Nilifaulu kidato cha nne kwa div 2.18 (HGL) sikuyafurahia matokeo kwasababu nilitaka sayansi ili nije kuwa Daktari wa masikio siku moja japo haikuwa hivyo nilikubali matokeo na nilimshukuru Mungu. Hatimaye nilijiunga kidato cha tano changamoto zilikuwa ni zilezile lakini nilipambana nazo, kutokana na uzoefu wangu nilipokuwa wazazi kunitia moyo nilipokuwa high school sikuwa na wazaz bali mimi kama mimi. Kejeli kwa wanafunzi (bullying) zilikuwa nyingi muda mwingine nilirudi nyumbani kwa kisingizio cha kuumwa japo nipate wa kunitia moyo ili nikaiendeleze safari yangu ya elimu.

Nilipokuwa shuleni sukutaka kukaa tu muda wenzangu waliokuwa wakipiga story kwakuwa muda mwingine sikuweza kujumuika nao hiyo ilitokana na kuona sisikii naenda kufanya nini muda mwingine hata nilipowasikia kwa shida na kuchangia mada hakuna aliyenijali. Hivyo nilichukua daftari na kutumia muda huo kuandika hadithi wengi walivutiwa na mwandiko wangu walianza kuisoma hadithi iliyomhusu (Binti yatima aliyekatishwa masomo kisa mapenzi na hatma yake). Muda mwingine waligombania daftari kwani mara nyingi wahusika nilitumia majina yao wenyewe walizidi kutamani na walianza kujifunza sikuona anayeninyanyapaa tena muda mwingine walijikusanya nikaanza kuwafundisha lugha za alama na taratibu walianza kuelewa ikanirahisishia mawasiliano nao.

Nilijiona mwenye nguvu na mtu mpya hii ilinijengea ujasiri na hatimaye nilianza kuwa mchangamfu na si mkimya Tena. Walimu walifurahishwa na Mimi na walisoma hadithi nilizoandika walinambia nilikuwa wapi siku zote walitaka kuniunga na FEMA lakini muda ulikuwa wa mwisho kumaliza kidato Cha SITA na hatimaye nilimaliza hivi leo niko chuo mwaka wa pili

Ninapokua field napata vikwazo na kukosa hamasa kwani wafanyakazi wengi hawana ufahamu wa lugha ya alama kwa viziwi na vipofu hivyo hunikwamishia mawasiliano na motisha ya kujifunza.

Naishauri serikali kutoa Elimu ya lugha za alama kwa shule zote za wenye ulemavu na wasio na ulemavu hii itarahisha mawasiliano, kwani hata mlemavu aendapo dukani atakuwa na uhakika wa maelewano kwani ni elimu hutolewa yangu daraja la chini Kama ilivyo kusoma na kuandika.
Pole sana Mkuu.
Hata mm nina tatizo kama lako, sikuzaliwa nalo bali nimelipata nikiwa shule (advance). Nashukru ALLAH nimefanikiwa kumaliza chuo mwaka 2019 lakini mpaka sasa imekuwa changamoto kupata ajira.

Hatupaswi kukata tamaa naamini ipo siku neema kubwa sana itatufikia na kusahau machungu tuliyopitia.
 
pole sana mkuu.....hata mm nina tatizo km lako sikuzaliwa nalo bali nimelipata nikiwa shule (advance). Nashukru ALLAH nimefanyikiwa kumaliza chuo mwaka 2019 lakini paka sasa imekua changamoto kupata ajira.

Hatupaswi kukata tamaa naamini ipo sk neema kubwa sana itatufikia na kusahau machungu tuliyopitia.
Aminaa🙏
 
Hello naweza kupata ur no mm Pia am 26 years mm langu lilitokea huko iringa jmn nilikuwa class 5 my dad did everything for me mpaka akafirisika nilifaulu sana form 4 nikachukua science ili nisome science I mean pharmacist to be but guess wat bullying was at the highest level 2016 walibadulisha grade point kusoma degree sikuwa na point 4 nilikuwa na point 3 so nikaenda kusoma diploma pharmacy huko chuo ndo balaa jmn vitu vingi vinahitaji nadharia na Vitendo afu huskies ndo balaa 😂It's not funny but dah nikawa na sup sup mpaka Nalia jmn unaingia tu darasani ilimradi lecture akuone but nilimalizaga hivo hivo kwa mbinde 😃 MUNGU ni mwema tupeane namba jmn but the way am she ............ Ila ubaguzi ni mwingi sana nilipataga kaz kwa famacy hivi Ila nikatolewa kisa sisikii jmn 😃😄🙏🏻 MUNGU atusaidie hearing impared 0622078689 it's my no check me throughout
 
Dah hili tatizo kama langu limeanza Nikiwa form two nmepambana nikapata division 2 form 4 nikaenda chuo direct nikasomea diploma ya mechanical engineering aiseee shida Inakuja kupata ajira unaitwa usahili simu hamuelewani yani ni miaka 6 nasota kitaaa hata utumishi nimefnya sana interview zao hadi oral lakni cjabahatika kuitwa
 
Hizi ndio changamoto tunazopitia
 
Hello naweza kupata ur no mm Pia am 26 years mm langu lilitokea huko iringa jmn nilikuwa class 5 my dad did everything for me mpaka akafirisika nilifaulu sana form 4 nikachukua science ili nisome science I mean pharmacist to be but guess wat bullying was at the highest level 2016 walibadulisha grade point kusoma degree sikuwa na point 4 nilikuwa na point 3 so nikaenda kusoma diploma pharmacy huko chuo ndo balaa jmn vitu vingi vinahitaji nadharia na Vitendo afu huskies ndo balaa 😂It's not funny but dah nikawa na sup sup mpaka Nalia jmn unaingia tu darasani ilimradi lecture akuone but nilimalizaga hivo hivo kwa mbinde 😃 MUNGU ni mwema tupeane namba jmn but the way am she ............ Ila ubaguzi ni mwingi sana nilipataga kaz kwa famacy hivi Ila nikatolewa kisa sisikii jmn 😃😄🙏🏻 MUNGU atusaidie hearing impared 0622078689 it's my no check me throughout
I feel your pain 😭😭😭😭 plz PM
 
Hello naweza kupata ur no mm Pia am 26 years mm langu lilitokea huko iringa jmn nilikuwa class 5 my dad did everything for me mpaka akafirisika nilifaulu sana form 4 nikachukua science ili nisome science I mean pharmacist to be but guess wat bullying was at the highest level 2016 walibadulisha grade point kusoma degree sikuwa na point 4 nilikuwa na point 3 so nikaenda kusoma diploma pharmacy huko chuo ndo balaa jmn vitu vingi vinahitaji nadharia na Vitendo afu huskies ndo balaa It's not funny but dah nikawa na sup sup mpaka Nalia jmn unaingia tu darasani ilimradi lecture akuone but nilimalizaga hivo hivo kwa mbinde MUNGU ni mwema tupeane namba jmn but the way am she ............ Ila ubaguzi ni mwingi sana nilipataga kaz kwa famacy hivi Ila nikatolewa kisa sisikii jmn MUNGU atusaidie hearing impared 0622078689 it's my no check me throughout
Mkuu nimekucheki kwenye namba yako hii, bado sijaona response
 
Mimi ni kiziwi pia nimeupata ukiziwi nikiwa na miaka 5 nimeanza kujifunza lugha ya alama nikiwa shule ya msingi Meru kitengo cha viziwi kilichopo jijini Arusha, nimeenda sekondari (Tanga Technical School) hakuna lugha ya alama kabisa lakini nikafanikiwa kuenda chuo (IAA) kule nako hakuna lugha ya alama kabisa.... ndugu zangu napenda kuwaambia kwamba bila kujikubali kwamba wewe ni kiziwi hutoboi... accept yourself as who you are , change your mindset, be persistent , work hard and be creative!!
 
Ushamaliza mkuu
 
Ulemavu ni Hali ya upungufu wa kazi katika kiungo kimoja wapo katika mwili wa mwanadam au mnyama kiungo hicho chaweza kuwa mkono, mguu macho nk kupelekea uhitaji wa vifaa maalumu ili kujishirikisha katika shughuli za kijamii na kiuchumi.

Binafsi nimezaliwa nikiwa na uwezo wa kusikia na nilipokuwa shule ya msingi nilikuwa nikifanya vyema nikafanikiwa kujiunga kidato Cha kwanza,maendeleo yangu yalikuwa mazuri tu Hadi kidato Cha pili ambapo ghafla nilianza kujihisi sisikii vizuri nilipoitwa sikusikia vizuri mda mwingine nilitukanwa au kupigwa na walimu kwasabab nilishindwa kujieleza kuwa sisikii vizuri , pengine kwasabab ya woga na aibu watanchukuliaje nikisema sisikii vizuri ilihali nilikuwa mzima?

Kwakua ilikua shule ya kutwa nyumbani Nako walianza kinigundua walipoita mara mbili mara tatu pasina wasikia, mda mwingine walinituma hiki Mimi naleta kingine. Mara nyingi nilikuwa naumia pale waliposema hivi wewe husikii? Niliogopa kuwajibu mda mwingi nilibaki kimya nikijitafajari, nilianza kuyasahau masomo nikaanza kuacha kwenda shule kwasabab nilijiona tifauti na wenzangu nilitamani kupelekwa shule za viziwi tuu lakini baba yangu alilikataa hilo. Hatimaye nilipelekwa hospital za kata na za ma specialist mfano Bugando, Hindu, Regency, Ekenywa nk lakini majibu yalisikitisha mara nyingi walikuta masikio ni mazima na hayana tatizo isipokuwa mishipa ya fahamu ndiyo shida

Nilipewa dawa aina ya Neurton ya kumeza Hadi tatizo litapokoma na kifaa maalumu kwa ajili ya kusikia lakini havikuweza saidia. Hatimaye nilirudi shule nikiwa na furaha lakini kifaa hakikunisaidia chochote bado nilishindwa kutafsiri maneno sikuona umuhimu niliacha kukivaa hatimaye nilijisomea mwenyewe, nilijifundisha pia kupitia kusoma huku nikisaidiwa na walimu kwa ukaribu hadi kidato cha nne, kilichoniumiza ni wanafunzi kutofahamu lugha za alama,

Binafsi nilikuwa sizijui na ningezijuaje ilihali shule nilizotoka hakuna mafunzo hayo?

• Wanafunzi walionizunguka hawakuwa na ujuzi wa lugha za alama hivyo ilinikwamishia mawasiliano shuleni na nilianza kuwa mkimya Hali iliyoniumiza mda mwingi sana.

• Shule maalumu kwa viziwi zilikuwa mbali na maeneo nilipo kutokana na mfuko wa mzazi ikawa ni vigumu.

Niliendelea na masomo sikukata tamaa nilijitahidi Sana hata kuwazidi wenzangu kwani nilikuwa miongoni mwa tatu Bora na hatimaye tano Bora nilijitahidi kusoma na kumuonba Mungu nisishuke hapo na kweli sikushuka hapo. Japo maneno yalikuwa mengi shuleni wengine walithubutu kusema siwezi zidiwa na mtu asiyesikia lakini haikuniumiza kwasababu niliijenga akili yang kuwa inaaweza na mara nyingi sikuwalaumu " Bali nili ilaumu serikali kwa kutotoa Elimu juu ya walemavu kwa wanafunzi wasio na ulemavu ili na wao waelewe kuwa mlemavu anaweza Kama mtu ambaye asiye na ulemavu na kwa kutowafunza upendo mashuleni juu ya walemavu ilinipelekea kutamani uwepo wa somo la ulemavu Kama ilivyo Katika kupambana na rushwa"

Nilifaulu kidato cha nne kwa div 2.18 (HGL) sikuyafurahia matokeo kwasababu nilitaka sayansi ili nije kuwa Daktari wa masikio siku moja japo haikuwa hivyo nilikubali matokeo na nilimshukuru Mungu. Hatimaye nilijiunga kidato cha tano changamoto zilikuwa ni zilezile lakini nilipambana nazo, kutokana na uzoefu wangu nilipokuwa wazazi kunitia moyo nilipokuwa high school sikuwa na wazaz bali mimi kama mimi. Kejeli kwa wanafunzi (bullying) zilikuwa nyingi muda mwingine nilirudi nyumbani kwa kisingizio cha kuumwa japo nipate wa kunitia moyo ili nikaiendeleze safari yangu ya elimu.

Nilipokuwa shuleni sukutaka kukaa tu muda wenzangu waliokuwa wakipiga story kwakuwa muda mwingine sikuweza kujumuika nao hiyo ilitokana na kuona sisikii naenda kufanya nini muda mwingine hata nilipowasikia kwa shida na kuchangia mada hakuna aliyenijali. Hivyo nilichukua daftari na kutumia muda huo kuandika hadithi wengi walivutiwa na mwandiko wangu walianza kuisoma hadithi iliyomhusu (Binti yatima aliyekatishwa masomo kisa mapenzi na hatma yake). Muda mwingine waligombania daftari kwani mara nyingi wahusika nilitumia majina yao wenyewe walizidi kutamani na walianza kujifunza sikuona anayeninyanyapaa tena muda mwingine walijikusanya nikaanza kuwafundisha lugha za alama na taratibu walianza kuelewa ikanirahisishia mawasiliano nao.

Nilijiona mwenye nguvu na mtu mpya hii ilinijengea ujasiri na hatimaye nilianza kuwa mchangamfu na si mkimya Tena. Walimu walifurahishwa na Mimi na walisoma hadithi nilizoandika walinambia nilikuwa wapi siku zote walitaka kuniunga na FEMA lakini muda ulikuwa wa mwisho kumaliza kidato Cha SITA na hatimaye nilimaliza hivi leo niko chuo mwaka wa pili

Ninapokua field napata vikwazo na kukosa hamasa kwani wafanyakazi wengi hawana ufahamu wa lugha ya alama kwa viziwi na vipofu hivyo hunikwamishia mawasiliano na motisha ya kujifunza.

Naishauri serikali kutoa Elimu ya lugha za alama kwa shule zote za wenye ulemavu na wasio na ulemavu hii itarahisha mawasiliano, kwani hata mlemavu aendapo dukani atakuwa na uhakika wa maelewano kwani ni elimu hutolewa yangu daraja la chini Kama ilivyo kusoma na kuandika.
Nakosa maneno rahisi ya kuelezea, hata mimi niko hivyo hivyo 2015 niko form 2 nilianza kutokusikia, nilishaenda Muhimbili, Lugalo na CCBRT macho ni shida sioni mbali Mita 5, masikio naambiwa tatizo hawalioni nimekunywa dawa haxi nikazichoka! Nimetumia Digital programmable machine na Hearing machine hakuna msaada nimeacha kuvaa sijui lugha ya ishara maana nimesoma shule za kawaida tangu msingi, chuo nimeacha sababu hiihii class ubaoni sioni na mhadhiri simsikii yaani kila kitu kimehadibika mbaya zaidi nasoma journalism.Ni mwandishi wa simulizi pia lakini kuna muda naona hazinisaidii yaani niponipo tu home sielewi maisha yangu yakpje kila nikifikiria umri unaenda 23 niko home zaidi ni first born wadogo zangu wananitegemea kila nikifikiroa maisha yangu ynakuaje nakosa amani naona aibu mtaani niliosoma nao wengi waliishia form 4 hawana kazi ni wa vijiweni tu stori zao ni wanawake tu.

Hata kushinda vijiweni cwezi maana kuna bodaboda ambao wao wako kazini stori huku wanangoja abiria mwisho wa siku ameingiza mfukoni ht 10k mimi mtupu kila nikifikiria daah!!Najionea huruma nini nifanye sijui kila kitu kimekosa maana ntamani kurudi chuo ila kil nikifikiria kutockia na kutoona mbali nakosa amani niponipo tu
 
Pole sana Mungu akutangulie
 
Mm nilifeli 😭😭😭😭
 
Back
Top Bottom