Natafuta mchumba

Mimi ni kijana umri 36, nina elimu ya college, sijawahi kuoa na sina mtoto, napatikana Dar.

Natafuta rafiki wa kike umri 30-34, awe na elimu angalau form 4, asiwe amewahi kuolewa, kama ana mtoto asizidi 1, nahitaji mtu mwenye malengo na mawazo ya kimaendeleo.

Nahitaji mtu ambae kama tukiendana tuje kuingia kwenye mahusiano, kwa aliyetayari aje inbox.
Unaoa mtu aliye na mtot hakikisha Bab mtot amefariiki au amemuua wee mwenyewe na uoneshwe kaburi lake na cheti chake ukipate
 
Mkuu punguza umri kidogo,taja dini yako nije PM chap kwa haraka

Halafu elimu ya fom fo lazima niambatanishe na cheti?manake mie kiukweli nilimaliza fom fo lakini cheti sikupewa sijui kwanini
Utakuwa ulikisahau bwenini
 
Mimi ni kijana umri 36, nina elimu ya college, sijawahi kuoa na sina mtoto, napatikana Dar.

Natafuta rafiki wa kike umri 30-34, awe na elimu angalau form 4, asiwe amewahi kuolewa, kama ana mtoto asizidi 1, nahitaji mtu mwenye malengo na mawazo ya kimaendeleo.

Nahitaji mtu ambae kama tukiendana tuje kuingia kwenye mahusiano, kwa aliyetayari aje inbox.
Kichwa cha habari unatafta mchumba , maelezo umesem unatafta rafiki any way .... vipi hapo kwwnye vigezo nikuongeze kimoja vipi ulihitaji TV flati U chogo usikidharau hicho kipengele ni muhimu sana
 
Screenshot_20230621-220951_Instagram.jpg
 
Mimi ni kijana umri 36, nina elimu ya college, sijawahi kuoa na sina mtoto, napatikana Dar.

Natafuta rafiki wa kike umri 30-34, awe na elimu angalau form 4, asiwe amewahi kuolewa, kama ana mtoto asizidi 1, nahitaji mtu mwenye malengo na mawazo ya kimaendeleo.

Nahitaji mtu ambae kama tukiendana tuje kuingia kwenye mahusiano, kwa aliyetayari aje in
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom