Mlioanzisha mahusiano humu ndani kwa mbwembwe na baadaye mkaachana, mko wapi?

Wanakulana sana watu huku mkuu, nimekumbuka Mganga wa kienyeji na yule dada wa Nkuhungu pale Dodoma. Dada akachatuka akawa analiwa na kila mtu humu, na akisha liwa anapost namba ya chumba alicholiwa. Wahuni kumbe huko huko wanampiga picha, walivyokuja kumvua nguo akapotea mazima
Mshana na Demiss au sio
Mbona hiyo stori ilinipita mkuu
 
Wanakulana sana watu huku mkuu, nimekumbuka Mganga wa kienyeji na yule dada wa Nkuhungu pale Dodoma. Dada akachatuka akawa analiwa na kila mtu humu, na akisha liwa anapost namba ya chumba alicholiwa. Wahuni kumbe huko huko wanampiga picha, walivyokuja kumvua nguo akapotea mazima
Hiyo ya kupigana picha alikosa ustaarabu
 
You don't want peace.... You want problems. Always 🤣🤣🤣
Wewe ulijuaje lakini
Anapigage kelele tu u much know mwiingi! Sisi wanaume tunajua kuishi na kila mwanamke na mbwembwe zake. Innocent ladies who gives their sacrifice ya kuheshimu wanaume, kuvumilia, kuwa humble wanakuwa gifted zawadi ya kusainiwa rasmi katika ukoo mwingine (Marriage)
 
Back
Top Bottom