Mlioanzisha mahusiano humu ndani kwa mbwembwe na baadaye mkaachana, mko wapi?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,511
40,592
Kuna watu humu walianzisha mahusiano kwa mbwe mbwe sana, mpaka sisi ambao hatukuwa na mahusiano tukajiona labdo dunia hii sio sehemu yetu sahihi ya kuishi.

Ilikuwa kila sehemu wakipitia nyuzi lazima waonekane pamoja, waitane majina mazuri mazuri ili kutuumiza roho sisi; lakini mwisho wa siku mahusiano yakawa chali, hakuna kuitana majina mazuri mazuri tena, kila mmoja anapambana na hali yake.

Kama wewe ni mmoja wapo; njoo utupe ushuhuda, ni nini kilikupata mpaka ukavunja mahusiano?​
 
Wataje mkuu, mbona kama unawaogopa?

Alafu wewe na dada yangu Joannah mliishia wapi? Maana ulimfungulia hadi Uzi.
 
Hivi hua yanakuwepo hafi in real life au yanishiaga humu humu
Wanakulana sana watu huku mkuu, nimekumbuka Mganga wa kienyeji na yule dada wa Nkuhungu pale Dodoma. Dada akachatuka akawa analiwa na kila mtu humu, na akisha liwa anapost namba ya chumba alicholiwa. Wahuni kumbe huko huko wanampiga picha, walivyokuja kumvua nguo akapotea mazima
 
Back
Top Bottom