Mlioanzisha mahusiano humu ndani kwa mbwembwe na baadaye mkaachana, mko wapi?

Wifi nakudai pesa yangu ya mafunzo 🤣🤣🤣
Usintanie kabisaa, mi wa kuachika kweli?? Na ulinitia moyo wewe ni kiboko kwa kufunda!!
Pesa kurudi sahau, itakuwa ulikosea mizungu mwari kigego wangu.

Afu wewe umenifanya nilog in Kwa mtanange wa Kule selfika, Ile naandika comment uzi umefungwa. ....Ila sio kesi ngoja nikachote mchanga nje niwaite na wenzio mje mpute vagi liendelee🤣🤣🤣
 
😂😂😂😂 sikutegemea mwamba wa kaskazini angeniacha na kunifunda kote kule??
Au wewe umemtafutia mke mwingine??
 
Back
Top Bottom