AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 356
- 1,062
Ikiwa alikuwa hai hao bodaboda walishindwa kumuaisha Hosptali ?
Nadhani jambo la muhimu la kujifunza ni kuwa na precautions maana kazi ya kupiga picha ni nonstop job .
Alikuwa kama abiria au ni yeye mwenyewe alikuwa ana endesha chombo hicho?
Ni ngumu sana kumpeleka majeruhi hospital bila kuwahusisha Polisi. Kuna kuwa na urasimu mkubwa mno.