Mboga ipi ni ya kupika kwa haraka

Dagaa wa kukaanga.. (Uduvi) pemben uwe na chumvi na pilipili ya kukata.

Hii mboga ni compatible na

1- UGALI
2- WALI
3- CHAPATI
4- MAANDAZI

unaweza pitia kwa mama ntilie maharage ya jero ukamwagia kwa juu ya wali na hao dagaa..

Utakula kilo 1 usipokuwa makini..
Maharage ya jero 😃😃 mabachelor wanajulikana tu😃
 
Yeah haswa ukiwa na fridge lenye hali nzuri na ukawa na knowledge nzuri ya uhifadhi wa chakula. Btw mboga zikiungwa kadri zinavyokaa zinazidi kuwa tamu, spices get better with time.

Watu wanaolalamikia chakula kilichohifadhiwa ni either hawana mafridge bora au hawajui kuhifadhi vyakula vizuri vikabaki fresh.
Natamani nijue kitu zaidi hapa.
 
Back
Top Bottom