Hivi mnapata ugumu kujua mboga ya kupika kama mimi?

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,197
4,120
Mwenzenu kila nikiwaza mboga ya kula siku hiyo napata tabu sana, yaani natumia muda mrefu sana kuwaza mboga na wakati mwingine nakosa najikuta kila nayowaza nimekula siku za karibu.

Yaani kujua mbga ya kupika kwa upande wangu ni tatizo sana natamani hata ningekuwa naambiwa tu pika mboga hii leo kesho pika hii.

Je, na wewe unakutana na changamoto kama yangu.

images
 
Back
Top Bottom