Ipi ni Curry Powder best kwa sasa.

Singasinga

JF-Expert Member
Aug 27, 2011
2,649
3,163
Habari wakuu

Naomba kujua Curry powder ipi ni bora zaidi kwa sasa ambayo inaweza fanya mboga yangu ya bamia na nyanyachungu zitaste kama nyama roast.
 
Kwa nini unataka ubadilishe ladha ya vegetable to beef?
Na je hiyo ndiyo kazi ya curry powder?


Anyway vifaa vyangu hivi hapa
20231207_123242.jpg
 
Curry powder (binzari) kazi yake sio kuleta ladha ya nyama kwenye chakula.
 
Nadhani kuna binzali na masala ni vitu viwili tofauti. Binzali inaleta rangi then masala ndio inaleta ladha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom