Kwa hapa Tanzania taasisi nyingi binafsi (hususani za mitandao na hata Radio au Tv) hazina ajira rasmi kwa watumishi wake wengi. Malipo huwa ni posho, tena kwa siku, wiki au kazi. Zimekaa kishkaji mnoo, ni kwa sababu kiuchumi zinaunga unga sana.
Hivyo watu wapo kujishikiza tu, na wamiliki wanawaambia live kuwa kama ukiona hicho wanachokupa hakikutoshi kuvuta siku, basi sepa tu, maana wahitaji wa hiyo nafasi wako wengi wanasubiria.
 
Tuseme hata Kapteni wa Game alikua anaunga-unga? Nimeshangaa Jo alishindwa kwenda kumzika kisa alikua nje ya nchi. Alishindwa kupata tiket kuwahi mazishi?
 
Kabla ya kuuliza hayo em uliza kuhusu P.A.Y.E je inakatwa kama kawaida/inavyotakiwa..?
 
Poleni Kwa msiba huu wa Zuchi.

Kamanda akiwa katika majukumu ya kazi kapata ajali, kafariki kaacha watoto wawili, vipi kuhusu mirathi na stahiki nyingine za marehemu?

NB: Waajiri walazimishwe kuwakatia bima ya maisha wafanyakazi wao. Ona Sasa familia inaenda kuonja maisha magumu bila kutarajia.
Mbona unakazana na Millard Ayo. Tujiulize maslahi ya wafanyakazi Metl, Murzah,Azam, Asas na IPP. Maana haya makampuni yanamilikiwa na matajiri wakubwa.
 
Poleni Kwa msiba huu wa Zuchi.

Kamanda akiwa katika majukumu ya kazi kapata ajali, kafariki kaacha watoto wawili, vipi kuhusu mirathi na stahiki nyingine za marehemu?

NB: Waajiri walazimishwe kuwakatia bima ya maisha wafanyakazi wao. Ona Sasa familia inaenda kuonja maisha magumu bila kutarajia.
Wewe inaonekana hujui kitu chochote na unataka kuwahadaa watu as if unajua sana. In short Yule dogo aliacha kazi toka mwaka jana akajiajiri kwenye mradi wake wa mafuta (hair & body) lotion.

Pia alipopata ajali alikuwa anatoka kwenye misele yake pale warehouse masaki so hakuwa kazini since alikuwa ameshaacha labda kama alikuwa kwenye kazi zake tu.

So hakuwa mtumishi wa Ayo.
 
Bima ya afya sio jukumu la muajiri hilo ni jukumu lako wewe binafsi na familia yako.

Halafu mleta uzi naomba urekebishe hapo jina la marehemu sio Zuchi ni Zuchero.
 
Back
Top Bottom