quier
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 417
- 1,494
Alishaacha kazi kwa millard siku nyingi na alikua kwenye biashara ya vipodozi.Poleni Kwa msiba huu wa Zuchi.
Kamanda akiwa katika majukumu ya kazi kapata ajali, kafariki kaacha watoto wawili, vipi kuhusu mirathi na stahiki nyingine za marehemu?
NB: Waajiri walazimishwe kuwakatia bima ya maisha wafanyakazi wao. Ona Sasa familia unaenda kuonja maisha magumu bila kutarajia.