Rudi juu kuna link ingia usome post nzimaTafasiri au maana ya neno "Kapuku" ni ipi?
Tafuta msamiati au neno lingine kuwakilisha hili chama.
Uzi utazungushwa kila sikuKatibu mipango wa Makapuku nipo hapa.. Hakuna kujipendekeza kwa mtu tunaamini tuna ubora kuliko wao... Hapa ni muda wa makapuku kusimama na kung'aa... No shobo no Ufagio
Kuna wakati kuna vitu vinajitokeza kwa makusudi katika haya tunayofanya humu ndani.Nasubiri memba wengine wake humu
Tupo pamoja!Katibu mipango wa Makapuku nipo hapa.. Hakuna kujipendekeza kwa mtu tunaamini tuna ubora kuliko wao... Hapa ni muda wa makapuku kusimama na kung'aa... No shobo no Ufagio
Kama maandamano vile mpaka kielewekeUzi utazungushwa kila siku
mweka hazina nipo
Tittle ya thread inajitoshelezaAcheni ubaguzi jamani wote humu ni wamoja.
LizziebettieMoyo wangu unafarijika.....
Salute kwa founder members wote
President Bitoz (BishopTembo)
Vice Pr. Jimena
Prime minister Th name
Nahrene
Cute B
Ibra 87
EMMYGUY
Na leo ni SIKU MAALUMU KUUPA PROMO HUU UZI NI MARUFUKU KAPUKU KUANZISHA THREAD SIKU YA LEO HAPA CHIT GHAT.........