Makapuku Forum

japokuwa mimi sio mkongwe ni wa juzi juzi ..dah ili jina hapana aisee ..mimi sio kapuku
Mkuu BITOZ na SIZZYA007 tunaombeni mtafute kajina kengine kazuri mfanye substitution kwa ilo jina kapuku
Tusipojikubali hawa wakongwe watatuona sisi ni small organism

Lakini ngoma ikivuma vuvuvuuuuuu ujue imekaribia kupasuka..hatuna nyota ya punda sisi hapa hapa bongo tutatoka tuu

Kama vipi pita tu sio lazima uweke kituo hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom