Habarini wakuu Mimi ni kijana wa miaka 23 lengo la Uzi huu ni kuomba msaada jinsi ya kuanzisha biashara ya playstation.
Nina plani za kuanzisha biashara hii baada ya kumaliza masomo yangu ya elimu ya juu hapo mwezi wa saba baada ya kujikusanya hela ya boom Nina kama M1.5 .hivyo nahitaji mawazo,mafanikio na changamoto kuhusu biashara hii...natanguliza shukrani Kwa wana jf wote