Naomba kujuzwa kuhusu Biashara ya Betting

GITWA

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
1,505
1,711
Amani ya Mungu iwe juu yenu

Najua hapa kuna waelewa wa mambo mengi katika biashara hivyo naomba kujua mambo yanayotakiwa ili kuanzisha ofisi ya betting.

Miongoni mwa mambo ninayotaka kujua ni;

1. Mtaji kiasi gani tunatakiwa
2. Nawezaje kupata mfumo wa betting
3. Leseni yake inapatikanaje
4. Uendeshaji wake ukoje? Yaani ikitokea mtu kapata pesa kubwa kushinda mtaji wako inakuwaje?
5. Changamoto zake ni zipi?

Natanguliza shukurani kwa watakao nipa abc za hii biashara.
 
mkuu utapiga pesa sana kwa vijana wavivu wasiopenda kufanya kazi.
Hii kazi ina pesa ngoja waje kukupa muongozo
 
Kaka inamana wote wanaofanya betting ni wavivu? Kuna majamaa kadhaa nawafahamu wanadunda mjini kwa kutegemea hela za muhindi mzee
hizi stori zipo sana. Wewe fanya kazi lakini usiaminishe vijana betting ni ajira betting ni umaskini betting ina athari kubwa katika utafutaji, betting ina athari katika ubongo, betting ina athari hata katika maisha binafsi ya kujisimamia kijana mwenyewe.
Hizo stori za watu ninawafahamu hata mm ninao jamaa washalemaa hakuna wanaloweza, na wanakimbilia kufunga 30 sasa. Ni pombe na stress hawajui mbeleni itakuwaje na wabatamani kuacha.
Wewe piga kazi sababu ni kizazi cha kijinga hichi chenye kutaka maisha marahisi
 
Back
Top Bottom